Ijumaa, 21 Novemba 2014

MCHUNGAJI WA KANISA LA KIPENTEKOSTE NCHINI AWATAKA WATUHUMIWA WA UFISADI WA AKAUNTI YA ESCROW KUFIKISHWA MAHAKAMANI.


Timothy Marko
KUFUATIA kuhusishwa kwa baadhi ya watendaji wabunge nakashfa nzito ya Wizi wafedha katika akaunti ya ESCROW  viongozi wa makanisa yakipentekoste nchini wamelani kitendo chawabunge hao kushikilia madaraka bungeni hali inayopelekea kulichafua bungehilo ikiwa lenyewe ndio muhimili wa tatu wa dola.

Akizungumza jijini Dar es salaam mapema hileo Mchungaji wa kanisa la kinjili la kipentekoste nchini William Mwamalanga amesemakuwa amesikitishwa na baadhi yawatendaji wabunge hilo la jamuhuri wa muungano watanzania kukosa uadilifu kwakuhusishwa navitendo vya wizi katika akaunti ya Escrow.\

‘’Nashangaa sana walioiba katika akaunti ya escrow wanastahilikukaa katika viti vyambele kweli katika bunge bungeni nimahali  patakatifu hivyo wanastahili kukukaa watu waadilifu nasio wezi nilitegemea kesho watu hawa wangepelekwa kwenye vyombo vyasheria ‘’Alisema William Mwamalanga .

Mchungaji wiliam Mwamalanga alisema hali yakuhusishwa kwa baadhi ya watendaji wa bungehilo katika maswala yawizi wa fedha za umma nijambo linalotia doa serikali ilihali bungehilo limekuwa likitunga sheria nakuzipitisha  ilikuweza kusimamia utendaji wa serikali kushindwa kudhibiti kwa bunge hilo katika wizi wa mabiloni yafedha nikikitendo cha bunge hilo kukosa uadilifu .

Alisema  kuwa kutokana na kukosa uadilifu bungeni hapo jumuhia ya maaskofu wa makanisa wakipendekoste nchini wanatarajia wiki ijayo kufanya maandamano ya amani kupinga vitendo vya wizi katika akaunti 
ya ESCROW.
‘’Wiki ijayo jumuhia ya makanisa yakipendekoste tunatarajia kufanya maandamano ya amani kupinga vitendo vyaufisadi vinavyo fanywa na baadhi ya watendaji wabunge ‘’Aliongeza MCHUNGAJI Mwamalanga .

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni