Jumatatu, 8 Septemba 2014

WAANDISHI WAHABARI WAASWA KUTOFUMBIAMACHO VITENDO VIOVU VINANVYOFANYWA NA NAWEKEZAJI KATIKA SEKTA YA MADINI

Timothy Marko.
KATIKA kuhakisha sekta yamadini inakuwa na manufaa na tija hapa nchini Wanasheria wanchi mbalimbali wamekutana mapema hii leo ilikuweza kujadili changamoto zitokanazo na sekta ya madini ikiwemo mapato yatokanayo nasekta ya madini .

Akizungumza jijini  Kamishina wa sekta yamadini kutoka wizara yanishati na madini hapa nchini Muhandisi ALLY SAMAYE amesemakuwa madhumuni yamkutano huo nikujadili changamoto zikiwemo changamoto zakisera nasheria zitokanazo na sekta ya madini hapa nchini.
‘’huu mkutano umekuwa ukiwakusanya wanasheria wanchi mbalimbali mbali ilkuweza kuzungumza maswala mbalimbali yakisheria zitokanazo na sekta yamadini ‘’alisema Ally Samaye .

Samaye alisema kuwa muwekezaji anapokuja hapa nchini hunufaika kutokana nasheria zilizopo zinampa fursa kubwa muwekezaji wa kutoka nje yanchi huku ikiliacha taifa katika sitofahamu hali inayopelekea taifa kukosa mapato .
Alisema kuwa katika sheria yamwaka 2009kulikuwa natume ya marekebisho ambapo kulikuwa na mapendekezo mambalimbali kuhusiana na mirabaha katika sekta ya madini ikiwemo kurekebisha kiwango cha tozo la madini ilikuweza kuchangia katika pato lataifa .

‘’katika sheria ya mwaka 2009 kumekuwa na mirabaha yakodi hali inayopelekea kukosesha taifa mapato katika kipindi chicho serikali imekuwa ikiweka mapitio yasera yamadini ilkuweza kukuza sekta ya madini hapa nchini ‘’alisema samaye.

KATIKA hatua nyingine Rais wa chama cha wanasheria Charles Rwechungula alisema kuwa kwakutambua umuhimu wa sekta ya madini hapa nchini ilikuweza kujadili changamoto ikiwemo mahusiano baina ya wananchi na wawekezaji .
Charles Rwechungula alisema kuwa changamoto iliyopo hivi sasa ni kulinda maslahi ya taifa pamoja naswala la mazingira katika migodi pamoja na kutatua migogoro iliyopo katika migodi .
‘’Tunawaomba waandishi wahabari muweze kuandika habari zitokanazo namigogoro ya katika sekta ya madini hususan katika migodi kumekuwa namatatizo yakupigwa risasi kwa wananchi nawawekezaji ‘’Alisema Rwechungula .
Rwechungula alisema kuwa mbali nawananchi kupigwarisasi pia kumekuwa nachangamoto yaukosefu wamaji na matatizo ya zebaki .

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni