Timothy Marko
JUMUHIYA ya
wafanyabishara nchini imetoatamko kuhusiana mgomo wa wafanyabishara hao
uliotokana matumizi yamashine yakusanyia kodi zijulikanazo EFD zinazo tolewa
namamlaka ya mapato Nchini nakusitiza kuwa jumuhia hiyo iliitisha mkutano
wadharura ikiwemo viongozi wamikoa ili kuweza kutoa tathimini kufuatia mgomo
huo .
Akizungumza na
waandishi wa Habari jijini leo Mwenyekiti wajumuhia ya wafanyabishara
nchini Johnson Minja amesemakuwa katika
mkutano baada ya kutana mbuge Mwigulu Nchemba 6-7Septembar, mwaka huu
yalipitishwa mazimio kuwa jumuhia hiyo ilipaswa kuonana na waziri wafedha Sada
MKuya ilkuweza kuzitatua changamoto za kisera za wafanyabiashara hao ikiwemo matumizi ya
mashine za kieletroniki za Efd katika kulipa kodi .
‘’Tulikutana
na mheshimiwa mwigulu Nchemba akatoa uamuzi wa kubadalisha sheria yakodi
yaongezeko la thamani VAT agenda ya pili ilkuwa ni kulishughulikia ombi la kuwa
na kipindi cha kufanya biashara bila kulipa kodi kwa wafanyabishara wapya ‘’Alisema
Jonhson Minja .
JONHSON
Minja alisema kuwa katika agenda yatatu yamkutano huo ilikuwa nikupitia
makabrasha aliyokabishiwa mbunge huyo zenye hadidu za rejea za vikao vyakamati
ilikuweza kutoa maamuzi .
Alisema
katika maadhimio yaliyofikiwa waziri wa fedha saada Mkuya aliwataka
wafanyabishara hao wafungue maduka wakati viongozi wa jumuhia hiyo wanaendelea
na mazungumzo .
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni