Timothy
Marko.
KATIKA
kuhakisha sekta yamadini inakuwa na manufaa na tija hapa nchini Wanasheria
wanchi mbalimbali wamekutana mapema hii leo ilikuweza kujadili changamoto
zitokanazo na sekta ya madini ikiwemo mapato yatokanayo nasekta ya madini .
Akizungumza
jijini Kamishina wa sekta yamadini
kutoka wizara yanishati na madini hapa nchini Muhandisi ALLY SAMAYE amesemakuwa
madhumuni yamkutano huo nikujadili changamoto zikiwemo changamoto zakisera
nasheria zitokanazo na sekta ya madini hapa nchini.
‘’huu
mkutano umekuwa ukiwakusanya wanasheria wanchi mbalimbali mbali ilkuweza
kuzungumza maswala mbalimbali yakisheria zitokanazo na sekta yamadini ‘’alisema
Ally Samaye .
Samaye
alisema kuwa muwekezaji anapokuja hapa nchini hunufaika kutokana nasheria
zilizopo zinampa fursa kubwa muwekezaji wa kutoka nje yanchi huku ikiliacha
taifa katika sitofahamu hali inayopelekea taifa kukosa mapato .
Alisema kuwa
katika sheria yamwaka 2009kulikuwa natume ya marekebisho ambapo kulikuwa na
mapendekezo mambalimbali kuhusiana na mirabaha katika sekta ya madini ikiwemo
kurekebisha kiwango cha tozo la madini ilikuweza kuchangia katika pato lataifa
.
‘’katika sheria
ya mwaka 2009 kumekuwa na mirabaha yakodi hali inayopelekea kukosesha taifa
mapato katika kipindi chicho serikali imekuwa ikiweka mapitio yasera yamadini
ilkuweza kukuza sekta ya madini hapa nchini ‘’alisema samaye.
KATIKA hatua
nyingine Rais wa chama cha wanasheria Charles Rwechungula alisema kuwa
kwakutambua umuhimu wa sekta ya madini hapa nchini ilikuweza kujadili
changamoto ikiwemo mahusiano baina ya wananchi na wawekezaji .
Charles
Rwechungula alisema kuwa changamoto iliyopo hivi sasa ni kulinda maslahi ya
taifa pamoja naswala la mazingira katika migodi pamoja na kutatua migogoro
iliyopo katika migodi .
‘’Tunawaomba
waandishi wahabari muweze kuandika habari zitokanazo namigogoro ya katika sekta
ya madini hususan katika migodi kumekuwa namatatizo yakupigwa risasi kwa
wananchi nawawekezaji ‘’Alisema Rwechungula .
Rwechungula
alisema kuwa mbali nawananchi kupigwarisasi pia kumekuwa nachangamoto yaukosefu
wamaji na matatizo ya zebaki .
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni