Timothy Marko.
INAKARIRIWA kuwa jumla ya wanawake walio kati ya umri wa
miaka 15hadi 45 wanakabiliwa natatizo la uzito kupitakiasi haliayotokana ulaji mbaya wa vyakula ambapo kati yawanawake
hao wamekutwa na magonjwa ya kisukari ,shinikizo ladamu pamoja magonjwa ya moyo
.
Akizungumza leo
jijini ,katika kongamano la tasisi ya chakula nalishe ambalo liliwajumuhisha
wadau mbalimbali wa sekta hiyo ikiwemo Taasisi ya usaid na unrich Katibu mkuu
ofisi ya waziri mkuu Frolence Turuka amesema tatizo la kuongezeka uzito ambalo
linawakabili wanawake wengi hapa nchini limekuwa nitatizokubwa ambalo jitihada
za kukabiliana natatizo hilo sekta mbalimbali zinazohusiana na maswala ya lishe
hainabudi kushirikiana.
‘’Suala
lishe linahusisha wadau wote ikiwemo sekta binafsi juu ya uandaaji wa vyakula
sekta hii kwaiasi kikubwa ndio inachangia ubora wa chakula ulaji usio
nataratibu za kiafya inachangia kwa kiasi kikubwa matatizo ya magonjwa yakisukari
‘’Alisema Frolence Turuka .
Turuka
alisema kuwa kuptia taasisi ya chakula ya Tanzania food and nutrion centre
(TFNC )imekuwa ikiendesha mipango mbalimbali ikiwemo kufanya utafiti na
tathimini pamoja nakuratibu mipango kazi ilkuimalisha suala lalishe hapa nchini
.
Alisema
Tanzania imeweza kulitafutia suala utapiamlo ufumbuzi kuazinzia katika ngazi ya
kata pamoja na vijiji ilkuweza kuondokana na suala utapia mlo hapa nchini ilkufikia malengo ya millennia ya
mwaka 2025 ynayotaka kuondokana tatizo la utapia mlo hapa nchini .
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni