Alhamisi, 21 Agosti 2014

SHULE ZA MSINGI KUMI ZA JIJINI DAR ES SALAM KUPATIWA MADAWATI

Timothy Marko.
KATIKA kuhakikisha sekta ya elimu nchini inakuwa nakuleta maendeleo kwa jamii  mamlaka ya elimu nchini (TEA )kwakushirikiana kampuni ya mafuta ya TOTAL pamoja na benki ya KCB Imetoa msaada wa madawati 2000 kwa wanafunzi wa shule za msingi zipatazo kumi za mjini hapa .

Akizungumza jijini leo  nawaandishi wa habari Meneja habari Elimu na mawasiliano wa mamlaka hiyo Silvia Lupembe amesema kuwa msaada huo wa madawati unaogharimu shilingi milioni miamoja hamsini nasita 156000,00 0za kitanzania umelenga kutatatua tatizo la madawati linalo wakabili wa nanafunzi wa shule hizo za msingi hapa nchini .

‘’Leo tunatoa msaada wa madawati 2000 kwa shule za msingi za hekima ,bwawani ,bunju,goba,kombo ,kingugi,mbande,boko,pamoja na shule ya msingi kingo’ngo ambapo madawati haya ya tatolewa mwezi September mwaka huu ‘’Alisema Silivia Lupembe .

Silivia  Lupembe alisema kuwa katika shulehizo za msingi shule yamsingi Hekima itapata madawati 100 ,bwawani 100, bunju madawati 200, Goba 200,kombo 250,Kingugi 200,Chamazi,500 mbande 300,Boko NHC,1OO na shule yamsingi kingo’ngo’150,.
Lupembe alisema kuwa kwakushikirikiana namakampuni mengine ikiwemo kampuni ya total na wadau wengine wameanzisha mpango wa miaKa mitatu wa ufadhiliwa madawati washule za msingi zilizona uhitaji mkubwa wa madawati katika shule zilizopo katika mkoa wa Dar es salaam.
Kwaupande wake mkurugenzi wa kampuni ya mafuta ya Total Masha kileo ,aliwashukuru kwa taasisihiyo ya elimu kuwapa fursa ya kuchangia maendeo ya sekta yaelimu kuchangia madawati nakusisitiza kuwa kwakushirikiana na makampuni mbalimbali hapa nchini wamewezesha jumla madawati 1000kupatikana.

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni