Timothy Marko.
Waziri
mkuu Mizengo pinda amewataka watanzania
wanaoishi nchi za nje kupanua mtandao wa diplomasia wanchi wanaoishi watanzania
ilkuweza kukuza uchumi pamoja na maendeleo
katika nchi ya Tanzania ikiwemo kutumia taaluma zao walizozipata katika nchi hizo za ughaibuni kwa manufaa ya
taifa .
Akihitimisha
kongamano lawatanzania wanaoishi nchimbalimbali za kutoka ulaya amerika na
afrika jijini leo, waziri mkuu mizengopinda amesema kuwa nivyema wana dispora
hao wanaoishi nje ya tanzania kuzingatiakuwa suala la kwenda nje yanchi si suala lakukosa
uzalendo wan chi anayotoka bali nikwaminadi yakulisaidia taifa .
‘’Kwamaoni
yangu mkutano huu umekuwa ni wa mafanikio makubwa sana tume wapa mwanga wamambo
mbali mbali ikiwemo kuthamini utaifa kwanza kama kauli mbiu ina vyosema
nyumbani nyumbani kwani popote mtakapokwenda mtaweza kukumbuka kuwekeza
nyumbani ‘’Alisema waziri mkuu mizengo pinda
Wazirimkuu pinda
alisema kuwa konga manohilo nivema likafanyika kila baada yamiaka miwili baada
waziri mkuu huyo kuwauliza washiriki nimda gani kongamano hilo likakafanyika
nawashiriki kuafikiana kuwa konga mano hilo liwepo mara baada yamiaka miwili
ilkuweza kuleta tija kwataifa .
Katika hatua
nyingine waziri mkuu Pinda amewataka watanzania hao walikuwa katika hali nzuri
yakiuchumi kuwasaidia watanzania walipo katika nchi za ughaibuni kuweza kurudi
nyumbani .
‘’wapo
watanzania wanaishi nje hali za maisha ni mbaya kuliko hapa nchini ninawaomba
muwasaidie watu hawa waweze kurudi nyumbani hapa Tanzania hatuwezi kuwa acha
watu hawa ninaomba mtoe taarifa kwaserikali kumekuwa nawatu wamejiingiza kwenye
madawa hali yao nimbaya sana ninawaomba warudi hapa nchini .’’Aliongeza WAZIRI
Mkuu Mizengo Pinda .
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni