Timothy
Marko.
KATIKA
kuhakikisha sekta ya elimu nchini inakuwa nakuleta maendeleo kwa jamii mamlaka ya elimu nchini (TEA )kwakushirikiana
kampuni ya mafuta ya TOTAL pamoja na benki ya KCB Imetoa msaada wa madawati
2000 kwa wanafunzi wa shule za msingi zipatazo kumi za mjini hapa .
Akizungumza
jijini leo nawaandishi wa habari Meneja
habari Elimu na mawasiliano wa mamlaka hiyo Silvia Lupembe amesema kuwa msaada
huo wa madawati unaogharimu shilingi milioni miamoja hamsini nasita 156000,00
0za kitanzania umelenga kutatatua tatizo la madawati linalo wakabili wa
nanafunzi wa shule hizo za msingi hapa nchini .
‘’Leo
tunatoa msaada wa madawati 2000 kwa shule za msingi za hekima ,bwawani
,bunju,goba,kombo ,kingugi,mbande,boko,pamoja na shule ya msingi kingo’ngo
ambapo madawati haya ya tatolewa mwezi September mwaka huu ‘’Alisema Silivia
Lupembe .
Silivia
Lupembe alisema kuwa katika shulehizo za
msingi shule yamsingi Hekima itapata madawati 100 ,bwawani 100, bunju madawati
200, Goba 200,kombo 250,Kingugi 200,Chamazi,500 mbande 300,Boko NHC,1OO na
shule yamsingi kingo’ngo’150,.
Lupembe
alisema kuwa kwakushikirikiana namakampuni mengine ikiwemo kampuni ya total na
wadau wengine wameanzisha mpango wa miaKa mitatu wa ufadhiliwa madawati washule
za msingi zilizona uhitaji mkubwa wa madawati katika shule zilizopo katika mkoa
wa Dar es salaam.
Kwaupande
wake mkurugenzi wa kampuni ya mafuta ya Total Masha kileo ,aliwashukuru kwa
taasisihiyo ya elimu kuwapa fursa ya kuchangia maendeo ya sekta yaelimu kuchangia
madawati nakusisitiza kuwa kwakushirikiana na makampuni mbalimbali hapa nchini
wamewezesha jumla madawati 1000kupatikana.
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni