Timothy Marko .
WITO
umetolewa kwa vijana kupenda masomo yasayansi ilkuondokana na changamoto
mbalimbali zikiwemo ukame na bala la
njaa yanayotokana na mabadilko ya tabia ya nchi ikiwemo majanga mbali mbali
ambayo husababisha vifo hasa kwa nchi
zilizopo katika ukanda wa bara la afrika .
Akizungumza jijini
leo katika ufunguzi wa kongamano la wanasayansi linalofanyika katika ukumbi wa kimataifa
wa mwalimu nyerere Makamu wa Rais Dk Mohamed
Gharib BILALamesema kuwa
ilikuweza kukabiliana na changamoto hizo nilazima jumuhia yawanasayasi
kuweza kuwekeza kwa vijana ili kuweza kukuza tekinolojia mbalimbali ikiwemo
uchimbaji wa visima vyamaji ilikuwezesha jamii kutumia maji yanayo tokana
navyanzo mbalimbali vilivyopo chini ya
aridhi ili kukabiliana na tatizo la ukame .
‘’ili kuweza
kukabiliana tatizo la ukame katika nchi zetu za bara laafrika nilazima kutumia
tekinolojia ya uchimbaji wa vyanzo vya maji vilivyopo chini ya aridhi bara la
afrika linarasilimali kubwa ya vyanzo vya maji vili vyopo chini ya ardhi
kwakutumia vyanzo hivi tutaondokana natatizo la njaa na ukame linalololikabili
nchi nyingi za bara laafrika ‘’Alisema Makamu wa Rais DK.Ghalib Bilal.
Makamu wa Rais
Dk.GHALIB Bilal amesema kuwa ilikuweza kukabiliana na changamoto mbalimbali
ikiwemo ukame unao zikumba nchi nyingi za bara la afrika nilazima wanasanyansi
wanao toka katika bara la afrika kutatua changamoto mbalimbali za ukame ikiwemo
kutafuta nakuanzisha teknolojia yauchimbaji wa vyanzo vya maji vilivyopo chini
ya ardhi kwani afrika inasifika kwakuwa navyanzo vingi vyamaji vili vyopo chini
ya aridhi .
Dk GHARIB bilali
alisema kuwa licha yakuwepo kwa vyanzo vingi vya maji katika bara la afrika, pia
bara hilo lina sifika kwakuwa navyanzo vingi vyanishati ikiwemo gesi,mafuta
,makaa yamawe ,urani nagesi joto lakini baadhi ya wakaazi wa bara lafrika
wamekuwa wakichoma misitu na kukata miti ovyo kama chanzo cha kupata nishati
nakuongeza kuwa hali hiyo ndiyo inayochangia mabadiliko ya tabia ya nchi.
‘’Bara la
afrika pia lina vyanzo mbalimbali vya nishati ikiwemo mafuta ,gesi na makaa yam
awe naurani upepo na vinginevyo lakini bado watu wanaoishi katika bara hili
wamekuwa wakikata miti ilikupata kuni nakutegemea chanzo kimoja cha nishati hali
hii ndio ina changia sana mabadilko ya tabia yanchi’’Aliongeza Dk Ghalib BILALI
.
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni