Timothy Marko
Waziri wa
ujenzi Jonh Magufuli amewataka wananchi
kutunza miundo mbinu iliyopo ikiwemo barabara ili kujiletea maendeleo nakuwa kemea vikali wasafirishaji wa mizigo
wa naotumia magari makubwa ambayo yanauzito mkubwa kupita kiasi kinachoweza
kupitika katika bara bara hizo na kusisitiza kuwa wengi wawasafirishaji wa
bidhaa ikiemo magari aina yamaloli ya mekuwa yakiharibu bara bara hizo
ikilinganishwa nauwezo wabarabara hizo hali inayopelekea barabara nyingi
kuharibika. .
Akizungumza
kwenye ziara ya wizara hiyo aliyoifanya mkoani pwani mapema hii leo, Waziri
Jonh Magufuli amesema kuwa asilimia ishirini natano magari yanayopita kwenye
bara bara hizo yamekuwa yakiharibu bara bara kwa hapa nchini nakusa babisha
serikali kulazimika kuzifanyia matengenezo bara bara hizo kila mwaka .
‘’Asilimia
ishirini natano ya magari yamekuwa yakiharibu bara bara kwakubeba mizigo yenye
tani nyingi kupita kiwango kili chowekwa na barabara hizo wakati wenzetu katika
nchi ya marekani nitani thelatini nasita (36)Wakati sisi Tanzania tume ruhusu
hadi tani hamsini nasita 56.6 ‘’Alisema waziri Jonh Magufuli .
Waziri
Magufuli alisema kuwa ukiona bara bara inabonyea hali hiyo imetokana na baadhi
yamagari kupitisha kiwango cha mizigo ambacho kisichotakiwa na mamlaka ya
wakala wa bara bara (Tanroad).
Katika hatua
nyingine amewakemea watendaji wa mizani kuto pokea rushwa kwani vitendo hivyo
nikinyume cha sheria nakubainisha ipo mitambo maalumu ambayo imewekwa
itayowabaini watendaji wanaokiuka sheria ikiwemo kwa magari yenye uzito kupita
kiasi kuruhusiwa .
‘’hadi sasa
tuna tarajia kujenga barabara kwa kiwango cha lami zaidi ya kilometa 11,154 kwa
nchi nzima nina wapongeza benki ya dunia kufadhili miradi mbalimbali ya bara
bara’’Aliongeza waziri waujenzi JONH
Magufuli.
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni