Timothy Marko.
BAADA ya ule
mvutano wa mchakato wa katiba mpya kuyagawanya makundi mawili ikiwemovyama
vinavyounda katiba ya wananchi CUF ,NCCR
MAGEUZI ,CHEDEMA(UKAWA) kususia kikao cha bunge maaluumu mbaka madai yao
yaliyokuwa wakipendekeza yaweze kuingia kwenye katiba mpya ikiwemo
muundo wa serikali hatimaye hii leo
maoni ya kikao cha kamati ya mashauriano ya bunge hilo maalumu kilicho fanyika
jana katika ofisi ndogo ya bunge la jamuhuri ya muungano jijini Dar es salam
kimetoa maadhimio ya kikao hicho .
Akizungumza
na waandishi wa habari katika ofisi za Bunge zilizopo jijini leo,Dar es salaam
Katibu Wa Bunge maalum la katiba Yahaya KHAMISI amesema kuwa moja ya
mashauriano yaliyofanyika katika kikao hicho nipamoja na baada ya matatizo
yaliyotokea katika bungehilo maalumu la katiba mjini Dodoma hadikusababisha
Baadhi ya wajumbe wa bunge hilo kusuia kikao cha mbunge malum la katiba mbaka matakwa
yao yatakaporidhiwa ,kamati yamashuriano yabunge hilo imeshauri kuwa lazima
kuwe njia za kupata maelewano ya makundi yote mawili ilikuwezesha mchakato wa
awamu yapili kwenda salama ilikukamilisha mchakato huo.
‘’kuanishisha
mafunzo yaliyopatikana katika mwenendo wa mkutano wa kwanza uliyofanyika mwezi
Febuary hadi April mwaka huu ilkuweza kusahirisha makosa yoyote yaliyojitokeza
nahivyo kuwa na mkutano wenye utulivu zaidi katika ungwe inayoanza tarehe
agosti 5 mwaka huu’’ Alisema Yahaya Khamisi.
Yahaya
Khamisi alisemakuwa aidha katika kikao chakamati hiyo kiliridhia kuwa
,kwakutambua dhamana waliyoyonayo wa bunge hilo lakatiba kwa wananchi wajumbe
hao 629 haikutajiwa kwa wabunge hao wanaunda umoja wakatiba ya wananchi (ukawa )kususia
kikao hicho kwani dhamana waliyopewa wabunge hao nikubwa kwani mchakato
huounalenga kuleta katiba yanchi .
Katika hatua
nyingine Katibu wa bunge hilo lakatiba Yahaya Khamisi amesemakuwa wajumbe ambao
walio hudhuriakikao hicho ambao ni theluthi mbili walitoa maadhio kuwa wajumbe
wanaohudhuria kikao hicho wanashangazwa nahatua yakuendeleza mgomo dhidi ya
kutunga katiba kwakudai kuwa wanayotetea ni maslahi ya wananchi.
Katibu
wabungemaalum la katiba aliongeza kuwa kumekuwa
mkanganyiko baina wajumbe wakatiba kutambuliwa kama kundi maalumu wakati
kundi maalumu ni wabunge wawakilishi wanaounda kundi wajumbe wanaunda 201
wakati wa kura za maamuzi wa makundi rasmi nikundi lawajumbe kutoka Tanzania
bara nawajumbe kutoka Tanzania Zanzibar .
‘’sheria ya
mabadiliko ya katiba na hata kanuni zabunge maalum kutokuwa na vipengele
vinavyodhibiti utoro,ukosefu wa nidhamu na matendomengine yanayolenga kuvuruga
mchakato wa katiba’’Alisema Yahaya KHAMIS
Aidha ,katibu
wa bungehilo lakatiba akisoma taarifa iliyotolewa na mwenyekiti wa bunge
lakatiba Samweli Sitta alisema kuwa pamoja na madhimio yaliyo ainishwa katika
kikao hicho kamati hiyo ya mashauriano yakikao hicho kimeadhimia kuwa bungehilo
liendelee na mkutano unaotarajiwa kuanza 5agost mwaka huu nakuongeza kuwa kuna
mambo mengi yakujadili ikiwemo nafasi yauongozi,kuikarabati tume ya
uchaguzi,muugano,haki za wakulima na wafugaji,namengineyo.
Aliongeza kuwa
Kitendo cha UKAWA kulisusia bunge nikupuuza wito kupitia madhehebu ya dini
nakusisitiza kuwa kitendo hicho kinatilia shaka kuwa wana agenda yao yasiri.
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni