Ijumaa, 25 Julai 2014

SAMWELI SITTA :UKAWA WANAAJENDA YAO YASIRI


Timothy Marko.
BAADA ya ule mvutano wa mchakato wa katiba mpya kuyagawanya makundi mawili ikiwemovyama vinavyounda katiba ya wananchi  CUF ,NCCR MAGEUZI ,CHEDEMA(UKAWA)  kususia  kikao cha bunge maaluumu mbaka madai yao yaliyokuwa  wakipendekeza  yaweze kuingia kwenye katiba mpya ikiwemo muundo wa serikali  hatimaye hii leo maoni ya kikao cha kamati ya mashauriano ya bunge hilo maalumu kilicho fanyika jana katika ofisi ndogo ya bunge la jamuhuri ya muungano jijini Dar es salam kimetoa maadhimio ya kikao hicho . 

Akizungumza na waandishi wa habari katika ofisi za Bunge zilizopo jijini leo,Dar es salaam Katibu Wa Bunge maalum la katiba Yahaya KHAMISI amesema kuwa moja ya mashauriano yaliyofanyika katika kikao hicho nipamoja na baada ya matatizo yaliyotokea katika bungehilo maalumu la katiba mjini Dodoma hadikusababisha Baadhi ya wajumbe wa bunge hilo kusuia kikao cha mbunge malum la katiba mbaka matakwa yao yatakaporidhiwa ,kamati yamashuriano yabunge hilo imeshauri kuwa lazima kuwe njia za kupata maelewano ya makundi yote mawili ilikuwezesha mchakato wa awamu yapili kwenda salama ilikukamilisha mchakato huo.

‘’kuanishisha mafunzo yaliyopatikana katika mwenendo wa mkutano wa kwanza uliyofanyika mwezi Febuary hadi April mwaka huu ilkuweza kusahirisha makosa yoyote yaliyojitokeza nahivyo kuwa na mkutano wenye utulivu zaidi katika ungwe inayoanza tarehe agosti 5 mwaka huu’’ Alisema Yahaya Khamisi.
Yahaya Khamisi alisemakuwa aidha katika kikao chakamati hiyo kiliridhia kuwa ,kwakutambua dhamana waliyoyonayo wa bunge hilo lakatiba kwa wananchi wajumbe hao 629 haikutajiwa kwa wabunge hao wanaunda umoja wakatiba ya wananchi (ukawa )kususia kikao hicho kwani dhamana waliyopewa wabunge hao nikubwa kwani mchakato huounalenga kuleta katiba yanchi .
Katika hatua nyingine Katibu wa bunge hilo lakatiba Yahaya Khamisi amesemakuwa wajumbe ambao walio hudhuriakikao hicho ambao ni theluthi mbili walitoa maadhio kuwa wajumbe wanaohudhuria kikao hicho wanashangazwa nahatua yakuendeleza mgomo dhidi ya kutunga katiba kwakudai kuwa wanayotetea ni maslahi ya wananchi.
Katibu wabungemaalum la katiba aliongeza kuwa kumekuwa  mkanganyiko baina wajumbe wakatiba kutambuliwa kama kundi maalumu wakati kundi maalumu ni wabunge wawakilishi wanaounda kundi wajumbe wanaunda 201 wakati wa kura za maamuzi wa makundi rasmi nikundi lawajumbe kutoka Tanzania bara nawajumbe kutoka Tanzania Zanzibar .

‘’sheria ya mabadiliko ya katiba na hata kanuni zabunge maalum kutokuwa na vipengele vinavyodhibiti utoro,ukosefu wa nidhamu na matendomengine yanayolenga kuvuruga mchakato wa katiba’’Alisema Yahaya KHAMIS
Aidha ,katibu wa bungehilo lakatiba akisoma taarifa iliyotolewa na mwenyekiti wa bunge lakatiba Samweli Sitta alisema kuwa pamoja na madhimio yaliyo ainishwa katika kikao hicho kamati hiyo ya mashauriano yakikao hicho kimeadhimia kuwa bungehilo liendelee na mkutano unaotarajiwa kuanza 5agost mwaka huu nakuongeza kuwa kuna mambo mengi yakujadili ikiwemo nafasi yauongozi,kuikarabati tume ya uchaguzi,muugano,haki za wakulima na wafugaji,namengineyo.

Aliongeza kuwa Kitendo cha UKAWA kulisusia bunge nikupuuza wito kupitia madhehebu ya dini nakusisitiza kuwa kitendo hicho kinatilia shaka kuwa wana agenda yao yasiri.

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni