Timothy Marko.
Shirika la maendeleo ya petrol nchini (TPDC)limetoa msaada wa jumla shilingi milioni 12 kwaajili ya kuboresha miundombinu ya chuo cha stela moor kinachojihusisha na utoaji wa elimu na mafunzo ya uchimbaji wa gesi hapa nchimi .
Msaada huo umekuja baada ya chuo hicho kukukosa vifaa vya maabara vinavyotumika katika kufundishia mafunzo hayo ambapo shirika hilo limesemakuwa lipokatika mstari wambele katika miradi inayogusa mafuta nagesi .
Akizungumza leo jijini na waandishi wahabari mkuu wa kitengo cha falsafa na maadili wachuo hicho Aidan Msafiri amesema kuwa msaada wakwanza waliopatiwa nikwajili ya ada ambapo jumla ya wanafunzi wapatao 1500 wanatarajiwa kunufaika na msaada huo .
‘’chuo hiki kina jumla wanafunzi 1500 kufuatia msaada huu ulio tolewa leo utaweza kusaidia kuboresha miundo mbinu pamoja na vifaa vya maabara ‘’alisema Aidan Msafiri .
Kwa upande wake muwakilishi TPDC alisema kuwa shirika lake ipo tayari katika kuboresha mazingira ya chuo hicho ikiwemo kuboresha maabara ilikuwa wezesha wanafunzi kupata ujuzi utakao wawezesha kuboresha sekta ya gesi nchini .
Alisema kuwa kati ya msaada huo nipamoja na kugharimia mafunzo ama tuisheni .
‘’takwimu zinaoneshakuwa jamii nyingi za mikoa ya kusini imesahaulika katika swala laelimu nakatika Nyanja mbalimbali za kimaendeleo hivyo TPDCkwakushirikiana naserikali itaweza kutatua changamoto zilizpo’’alisema mukwakilishi huyo
Muwakilishi huyo TPDC alisema kuwa kume kuwepo na changamoto katika utoaji waelimu kw a walimu wengi hawana uelewa mpana wa somo la Tehama .
Alisema kuwa kume kuwa nadhana ya kukariri masomo ya Tehama kuliko mafunzo yavitendo kwa wanafunzi hali inayo pelekea kutokuwa nauelewa mpana wa sekta hiyo ya Tehama ,
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni