Alhamisi, 24 Aprili 2014

UAMUSHO WAKANA TUHUMA ZIZILOTOLEWA NA WAZIRI LUKUVI

Timothy  Marko.
Kufuatia kauli ya waziri wa nchi ofisi ya waziri mkuu na uratibu wa Bunge William Lukuvi kukinyoshea kidole jumuhia ya uamsho  kukihusisha navitendo vyauhalifu kuwa kimetumika katika kuuliwa  kwa  padri kushomwa makanisa kikundi hicho kimekanusha madai hayo  nakukiri wazi hakijahusika na matukio hayo.
Akizungumza leo jijini katibu wa jumuhia yauamsho Abdalah said ali amesemakuwa imeonesha wazi kuwa baadhi ya viongozi waserikali hujichukulia sheria mkononi nakuchukua nafasi ya mahakama na kibaya zaidi kutompa nafasi nanaye tuhumiwa kujibu tuhuma hizo.
‘’hiii inaonesha wazi kuwa kuna baadhi ya viongozi wa serikali hujichukulia sheria mkononi mwao kwakuchukua nafasi ya mahakama katika kutoa hukumu nakutompa nafasi anayetuhumiwa’’alisema Abdallah said ali.
Abdallah said Ali alisema pia jumuhia hiyo imehusishwa na chama cha wananchi cha CUFkuwa sera za chama hicho ndio sera ya Uamusho jambo ambalo si sahihi .
Alisema mpaka hivi sasa pamoja natuhuma hizo kutolewa hakuna ushahidi wowote uliowahi kutolewa na kuthibitishwa kuwa jumuhia yauamusho kuwa kimehusik ana vurugu zilizotokekea huko zanzabar.
‘’Mpaka hivi sasa hakuna ushahidi wowote uliowahi kutolewa na kuthibitishwa kuwa jumuhihia ya uamusho navurugu zozote zilizowahi kutokea huko zanzibar’’alio ngeza katibu mkuu wa jumuhia hiyo.
Katibu mkuu wa jumuhia yauamusho aliongeza kuwa kwa mfano mwaka 2004 jumuhia yauamsho ilituhumiwa kuhusika na vurugugu zilizotokea hapa Zanzibar ikiwemo milipuko ya mabomu kuchomwa moto kwa makanisa .
nakusisitiza kuwa ,kuchomwa moto kwa gari lapolisi nakuharibiwa miundombinu hali iliyopelekea kuundwa kwa tume ya kamati yajeshi lapolisi ikiongozwa naliyekuwa mkurugenzi waupelelezi wa makosa yajinai nchini Robert Manumba .
‘’tume hizo zilitangaza kuwa ndani ya mwezi mmoja watatoa matokeo ya tume zao katika mahojiano yapolisi pamoja na jumuhia ,jumuhia lionesha wasiwasi kuhusiana na matokeo ya uchunguzi hayatowekwa wazi kwahati mbaya  tume zote zimeshafikisha miaka kumi lakini bado hazijatoa matokeo yaripoti tume zao’’alisisitiza .
Kufuatia matokeo hayo uamusho ilisemakuwa matokeo hayo yaalitokea kati ya tarehe 26-29Mei 2012 nakupelekea kutishwa lawama kwa jumuhiahiyo ya uamusho hali iliyopelekea kuandikwa kwabarua nakumpelekea Rais wazanzibar Dk Ali Mohamed Shein mnammotarehe 3june 2012,nakumomba aunde tume huru ilikuchunguza nakutoaripoti yawahusika lakini mbaka leo hakuna tume iliyoundwa kuchunguza jinai hiyo hii naoneshakuwa hakuna tume ilichunguza jianai hiyo.
‘’jumuhia yauamusho haina mahusiano wowote na chamacha CUF wala chama chochote chengine cha kisiasa kama ilivyodaiwa na Muheshimiwa Lukuvi kwa masikitiko makubwa ambapo pale viongozi wadini wasio waisilamwanapozumzia maswala kijamii nakisiasa wameteleza uhuruwao kikatiba wakujieleza ,kwabahatimbaya sana inapotokea viongozi wakiisliamu kutoa maoni yao wanaonekana wataletauvunjifu waamani,uchochezi ,kuchanganya dini nasiasa nakutaka kusababisha vurugu’’alisema Abdala saidi ali

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni