Jumanne, 4 Machi 2014

WANANCHI WAMIJINI HURIPOTI ZAIDI VITENDO VYAUHALIFU KULIKO VIJIJINI YASEMA TWAWEZA


Timoth Marko
Tafiti zimeonyeshakuwa  Tanzania asilimia 46 wameshawahi  kushudia vurugu  katika kipindi chamiezi iliyopita  ikilinganishwa naidadi ya mtu moja kati yawatano ambapo kundi hilo nisawa asilimia ishirini yawalio ripoti kuwa wameripoti kuwa wamewahi kuibiwa kitu na wezi. 
Hayo yamesemwa leo na Mkuu wa wakituo chautafiti cha twaweza Rakesh Rajani   wakati akizungumza nawaandishi wahabari juu ya kukua kwa kiwango chauahalifunchini, ambapo alisema utafiti huo unaojulika kana kama’’ je tuko salama ‘’ambapo utafiti huo ambao ulifanyika kwa njia yasimu za mikononi uliokuwanauwakilishi kitaifa ambapo ulifanyika kwenye kaya zote za Tanzaniabara.

‘’utafiti huu umeonyeshakuwa kesi nyingi ambazo zililishawahi kusikika nizile zinazomuhusu mtu kutishiwa,kupigwa mawe  au kuuwawa kuwa nimakundi yawatu nasio jeshi lapolisi aujeshi’’alisema Rakesh Rajani .
Rajani alisema mwananchi mmoja kati yawatano ambapo nisawa nasilimia 19ameshawahi kusikia habari za mtukuuwawa nakundi nakundi lawatu nakuongeza kuwa wakati huohuo niwananchi wawili tu kati ya 50 ndio walishwahikusikia mwananchi ameuwawa na polisi.

Alisema wananchi walieleza kuwa polisi maranyingi huhusikaanapokuw amtu ametishwa kupigwa  aukupondwa mawe.
Hatahivyo Rakesh rajani aliongeza kuwa wananchi wengi wangependa kuripoti ingawa nusu yawananchi sawa asilimia47wanafanya hivyo ambapo idadikubwa nimaeneo yamjini ambapo kunawatu sita kati yakumi waliweza walisema kuwa wangeweza kuripoti uhalifu polisi ,ikilinganishwa namaeneo ya vijijini.

“nusu yawananchi wote sawa nasilimia arobaini nasaba wanaripoti katika vituo vyapolisi polisi pindi uhalifu unapotendeka wakati maneo yamjini watu kati kumi nisita tu waliweza kuripoti polisi swala uhalifu ikilinganiswa maeneo yavijijini watu 4 kati yakumi hufanyahivyo halihii inasababishwa uwepo wapolisi kwenye maeneo yamjini kuliko vijijini’’aliongeza mkuu watasisi hiyo.

Aliongeza kuwa halihiyo imetokana ukosefu wahudumaza zakipolisi napoloisi wengi kukimbilia mjini halihiyo imesanbabisha vitendo vyarushwa juu yajeshi hilo.
Kwa upande wake mkuu wajeshi lapolisi nchini inspecta Ernest mangu alisema jeshi lake linajalibu kuchukua hatua mbalimbali ilikuboresha mazingira yakazi ikiwemokuwajengea nyumba iliweze kufanya kazi kwa ufanisi.
‘’hatua mabalimbali zinachukuliwa ilkuhakikisha mazingira ya kujengewa nyumba,kupata bima ya afya,ongezeko laposho na mishahara inazingatiwa ilikuboresha jeshi lapolisi nchini’’alisema mkuu wa jeshi lapolisi nchini.

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni