Timoth Marko
Tafiti zimeonyeshakuwa Tanzania asilimia 46 wameshawahi kushudia vurugu katika kipindi chamiezi iliyopita ikilinganishwa naidadi ya mtu moja kati
yawatano ambapo kundi hilo nisawa asilimia ishirini yawalio ripoti kuwa wameripoti
kuwa wamewahi kuibiwa kitu na wezi.
Hayo yamesemwa
leo na Mkuu wa wakituo chautafiti cha twaweza Rakesh Rajani wakati akizungumza nawaandishi wahabari juu
ya kukua kwa kiwango chauahalifunchini, ambapo alisema utafiti huo unaojulika
kana kama’’ je tuko salama ‘’ambapo utafiti huo ambao ulifanyika kwa njia
yasimu za mikononi uliokuwanauwakilishi kitaifa ambapo ulifanyika kwenye kaya
zote za Tanzaniabara.
‘’utafiti
huu umeonyeshakuwa kesi nyingi ambazo zililishawahi kusikika nizile
zinazomuhusu mtu kutishiwa,kupigwa mawe au kuuwawa kuwa nimakundi yawatu nasio jeshi
lapolisi aujeshi’’alisema Rakesh Rajani .
Rajani
alisema mwananchi mmoja kati yawatano ambapo nisawa nasilimia 19ameshawahi
kusikia habari za mtukuuwawa nakundi nakundi lawatu nakuongeza kuwa wakati
huohuo niwananchi wawili tu kati ya 50 ndio walishwahikusikia mwananchi
ameuwawa na polisi.
Alisema wananchi
walieleza kuwa polisi maranyingi huhusikaanapokuw amtu ametishwa kupigwa aukupondwa mawe.
Hatahivyo Rakesh
rajani aliongeza kuwa wananchi wengi wangependa kuripoti ingawa nusu yawananchi
sawa asilimia47wanafanya hivyo ambapo idadikubwa nimaeneo yamjini ambapo kunawatu
sita kati yakumi waliweza walisema kuwa wangeweza kuripoti uhalifu polisi
,ikilinganishwa namaeneo ya vijijini.
“nusu
yawananchi wote sawa nasilimia arobaini nasaba wanaripoti katika vituo
vyapolisi polisi pindi uhalifu unapotendeka wakati maneo yamjini watu kati kumi
nisita tu waliweza kuripoti polisi swala uhalifu ikilinganiswa maeneo
yavijijini watu 4 kati yakumi hufanyahivyo halihii inasababishwa uwepo wapolisi
kwenye maeneo yamjini kuliko vijijini’’aliongeza mkuu watasisi hiyo.
Aliongeza kuwa
halihiyo imetokana ukosefu wahudumaza zakipolisi napoloisi wengi kukimbilia
mjini halihiyo imesanbabisha vitendo vyarushwa juu yajeshi hilo.
Kwa upande
wake mkuu wajeshi lapolisi nchini inspecta Ernest mangu alisema jeshi lake
linajalibu kuchukua hatua mbalimbali ilikuboresha mazingira yakazi
ikiwemokuwajengea nyumba iliweze kufanya kazi kwa ufanisi.
‘’hatua
mabalimbali zinachukuliwa ilkuhakikisha mazingira ya kujengewa nyumba,kupata
bima ya afya,ongezeko laposho na mishahara inazingatiwa ilikuboresha jeshi
lapolisi nchini’’alisema mkuu wa jeshi lapolisi nchini.
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni