BARAZA la habari
nchini (MCT)limetoa orodha ya majina ya waandishi wa takao ingia katika kinyang’anyiro
cha kumtaafuta mwaandishi bora wa mwaka 2013 ambapo jumla ya waandishi 101 wameteuliwa kuwania tunzo hizo zinanazo tambulika (EJAT)2013 .
Akizungumza na waandishi wa habari mwenyekiti wa kamati ya
maanalizi yamashindano hayo kajubi
Mukajanga amesema tamashahilo la utoaji wa tunzo linatajiwa kufanyika
katika ukumbi wa mlimani city jijini.
‘’idadi ya wateule nisawa na ongezeko la asilimia
24.6ikilinganishwa na mwaka jana ambapo wateule walikuwa 81 tu’’alisema mkajubi
mkajanga.
Mkajanga alisema kati yahao 46 wanatoka kwenye magazeti
39wanatoka kwenye redio,wakati 16 wanatoka kwenye runinga .
Aliongeza kuwa wateule kwenye magazeti wameongezek a wateule
watano ukilinganisha na mwaka jana ambapo alisema walikuwepo wateule 41kwenye
redio wameonge zeka kufikia 39 ukilinganisha na wateule 21 wa mwaka jana.
Alisititiza kuwa hata hivyo kwa upande waruninga idadi ya
wateule imepungua kutoka wateule 19 mwaka jana
ukilinganishwa nawateule 16 kwa mwakahuu.
‘’jopo lamajaji lililo anza kupitia kazi tangu februay 10
hadi16 mwaka huu liliongozwa na mwenyekiti wa majaji ,Gervas Moshiro na wajumbe
wengine katika jopo hilo walikuwa ,mwanzo milinga ,pili mtambalike,
Chrysostom Rweimamu ,ananiela nkya ,jesekwayu, Hassan mittawi ,pudencia temba
na suleimani kissoky.’’alisema mkajubi.
Mkajubi aliongeza kuwa kabla ya kupitia kazi hizo kwajili ya
mashindano hayo majaji waliapishwa na Rais wa baraza la habari ambayeni jaji
Rorbert Kisanga January 29 mwaka huu.
Aliongeza kuwa kwamwaka huu idadi yawaandishi wa habari
wanawake walioteuliwa imeongezeka nakufikia 18 ikilinganishwa na mwakajana
ambaowalioteuliwa walikuwa 11tu sawa
naongezeko la asilmia 63.6 kwenye kinyanganyiro hicho.
‘’jopo lamajaji wa
EJAT 2013 walipitia jumla ya kazi za kushindaniwa 907 ikilinganishwa na
mwakajana ambapo ziliwasilishwa kazi 946 ambapo mwaka2009kazi zakushi
Ndaniwa zilikuwa 304 mwaka 2010idadi iliongezeka hadi
kufikia kazi 437mwaka 2011 zilipokelewa kazi 772’’alisema mwenyekiti wa maandalizi ya ejat.
Aliongeza kuwa makundi yatakayo shindaniwa ni makun di ya
uandishi wa habari za biashara nauchumi,uandishi wa habari zamichezo nautamaduni,habari
za mazingira ,afya,uandshi wa habari wavvu pamoja naukimwi,habari za watoto
,utawala bora,jinsia,sayansi natenknolojia,uch unguzi,elimu,uifadhi,watu wenye
ulemavu,kilimo.
aliyatata makundi mengineni mchora katuni bora mpiga picha bora kundi lawaandishi wanahusiana uzazi kwa vijana.
aliyatata makundi mengineni mchora katuni bora mpiga picha bora kundi lawaandishi wanahusiana uzazi kwa vijana.
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni