Jumatano, 19 Machi 2014

HALI YA MAZINGIRA YAKAZI KWENYE MAKAMPUNI MENGI NCHINI SI SHWARI YASEMA RIPOTI

Timothy  Marko.
Imebanishwakuwa  kuwa moja yachangamoto kubwa  katika haki za ajira nikutafuta viwango vya ndani navile vilivyopo katika makapuni yandani navile  vyamakampuni yanje nakuonesha kuwa makampuni mengi hupendelea ajira  zisizo rasmi ambazo mkataba wake  ni wamda mfupi  kuliko zile ajira kamili za kimkataba ilikukwepa wajibu wa  kisheria .
Katika tafiti iliyofanywa na kituo chaheria na  haki zabinadamu ilionyesha kuwa zaidi ya asilimia 80 ya wafanyakazi hawana mikataba wakati asilimia 30 ilionyeshakuwa ndio tu mwanamikataba kamili ya ajira katika makapuni mengi nchini.
Akizindua ripoti hiyo leo mkurugenzi wa kituo cha haki zabinadamu nchini  Helleni kijo Bisimba amesema asilimia tisini natano yamikataba iliyo po haikuwa na haki za  ajira nabadalayake makampuni mengi yaliweka
‘’kwaupande mwingine asilimia sitini ya jumuhia za wafanyakazi haziko hai ingawa zipo kwenye asimia 41.6 ya sehemu za kazi  wakati jumla ya wafanyakazi waliojiunga na mifuko ya hifadhi ya jamii ni asilimia 6.5 tu Pamoja namapungufu hayo ni asilmia 1.9 ya wafanyakazi ndio wanaokandamizwa waliweza kufikisha malamiko katika vyombo vya sheria.’’alisema Helleni kijo bisimba.
Helleni kijo alisema katika utafiti huo pia umebaini kuwa katika haki za maswala  ya aridhi Tanzania imekuwa na asilimia 31.3 ya eneo lote la nchi zaidi kilometa 945,090 katika eneo ambalo linaloweza kukaliwa nia asilimia 80ya watanzania wanaishi katika maeneo ya vijijini .
Aliongeza kuwa kuwekuwa namatukio ya uporwaji wa ardhi ambayo yamezidi kuongezeka  kwakadri yauwekezaji unavyo ongezeka ambapo uporaji waardhi nizaidi ya asilimia 8.3  ambapo uwekezaji uliofanywa na serikali kabla kuachia  ardhi yao .
Alisema kuwa sehemu iliyomilikiwa na wawezekazaji hajafanyiwa maendeleo yoyote  aliongeza kuwa katika ripoti hiyo ilibanisha kuwa zaidi ya asilmia 73.9 ya wakazi walikataliwa kupewa aridhi ambayo hatumiki kabisa.
‘’inatia wasiwasi kwamba sehemu kubwa ya ardhi iliyokuwa kwa wawekezaji hajafanyiwa maendeleo yoyote ambapo asilimia 73.9 ya wakazi walikataliwa kupewa ardhi ambayo hatumiki kabisa ‘’ilisema ripoti hiyo iliyotolewa nakituo mazingira hasi dhidi ya wafanyakazi

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni