Timothy Marko.
Imebanishwakuwa kuwa moja yachangamoto kubwa katika haki za ajira nikutafuta viwango vya ndani navile vilivyopo katika makapuni yandani navile vyamakampuni yanje nakuonesha kuwa makampuni mengi hupendelea ajira zisizo rasmi ambazo mkataba wake ni wamda mfupi kuliko zile ajira kamili za kimkataba ilikukwepa wajibu wa kisheria .
Katika tafiti iliyofanywa na kituo chaheria na haki zabinadamu ilionyesha kuwa zaidi ya asilimia 80 ya wafanyakazi hawana mikataba wakati asilimia 30 ilionyeshakuwa ndio tu mwanamikataba kamili ya ajira katika makapuni mengi nchini.
Akizindua ripoti hiyo leo mkurugenzi wa kituo cha haki zabinadamu nchini Helleni kijo Bisimba amesema asilimia tisini natano yamikataba iliyo po haikuwa na haki za ajira nabadalayake makampuni mengi yaliweka
‘’kwaupande mwingine asilimia sitini ya jumuhia za wafanyakazi haziko hai ingawa zipo kwenye asimia 41.6 ya sehemu za kazi wakati jumla ya wafanyakazi waliojiunga na mifuko ya hifadhi ya jamii ni asilimia 6.5 tu Pamoja namapungufu hayo ni asilmia 1.9 ya wafanyakazi ndio wanaokandamizwa waliweza kufikisha malamiko katika vyombo vya sheria.’’alisema Helleni kijo bisimba.
Helleni kijo alisema katika utafiti huo pia umebaini kuwa katika haki za maswala ya aridhi Tanzania imekuwa na asilimia 31.3 ya eneo lote la nchi zaidi kilometa 945,090 katika eneo ambalo linaloweza kukaliwa nia asilimia 80ya watanzania wanaishi katika maeneo ya vijijini .
Aliongeza kuwa kuwekuwa namatukio ya uporwaji wa ardhi ambayo yamezidi kuongezeka kwakadri yauwekezaji unavyo ongezeka ambapo uporaji waardhi nizaidi ya asilimia 8.3 ambapo uwekezaji uliofanywa na serikali kabla kuachia ardhi yao .
Alisema kuwa sehemu iliyomilikiwa na wawezekazaji hajafanyiwa maendeleo yoyote aliongeza kuwa katika ripoti hiyo ilibanisha kuwa zaidi ya asilmia 73.9 ya wakazi walikataliwa kupewa aridhi ambayo hatumiki kabisa.
‘’inatia wasiwasi kwamba sehemu kubwa ya ardhi iliyokuwa kwa wawekezaji hajafanyiwa maendeleo yoyote ambapo asilimia 73.9 ya wakazi walikataliwa kupewa ardhi ambayo hatumiki kabisa ‘’ilisema ripoti hiyo iliyotolewa nakituo mazingira hasi dhidi ya wafanyakazi
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni