Alhamisi, 20 Machi 2014

MBINU MPYA ZA USAFIRISHAJI WA MADAWA YAKULEVYA ZA MBANIKA

Timothy  Marko
Jeshi  la kanda maalumu  Dar es salaam  limegundua mbinu mpya za usafirishaji wa madawa yakulevya zinazotengenezwa  viwandani  ikiwemo Cocaine  na heroine ,ambapo mbinu hizo nipamoja nakutumia njia yakusafirishia vifurushi  kwa njia ya kusafirishia vifurushi  ya  DHL .
Akizungumza na waandishi wahabari jijini leo, kamishina wa kanda maalumu wa Dar es salam Suileiman  kova amesema mnamo march 18 mwaka huu jeshi hilo lilipata taarifa kwamba kuna watu wanne wanajihusisha na usafirishaji wa madawa ya kulevya walikuwa katikaofisi za DHLkaribu na barabara ya sam Nnujouma mkabala na eneo la mlimani city.
‘’makachero wapolisi walifuatilia sualahilo na hatimaye march 18 mwaka huu majira ya saanane nanusu ndipo makachero wetu waliwabaini watu watatu ambao wanaume walikuwa ni wa wawili raia wanigeria  na mwanamke mmoja raia watanzania ‘’alisema  kamanda  Suleiman Kova .
Kamanda kova alisema watu hao walikamatwa wakiwa na kifurushi ambacho kilikuwa kilikuwa kinasafirishwa kwenda nchini Liberia  nakuongeza kuwa ,jeshi hilo lilifanya upekuzi  kwa makini nakubaini  ndani yakifurushi hicho kulikuwa nakitabu cha lugha ya kingereza .
Alisema  katikakurasa hizo zakitabu hicho kurasa za mwanzo na za mwisho kulikuwa naunga aina ya kahawia ambao uliashiria kuwa ni heroine  aliongeza kuwa unga huo ulikuwa naujazo wa nusu kilo.
Aliongeza kuwa pamoja nakubaini uhalifu huo mpya wakusafiris ha madawa yakule vya jeshi lake bado linaendea nauchunguzi zaidi.
‘’tuna washikilia watuhumiwahao ambao ni  Sunday CHAIDIKA OBI(42) ambaye ni raia wa Nigeria mkazi wakimara temboni  CHUKWUMA  ENHFAVOR (31)Raia wa Nigeria  mkazi wa bugurni, Frank lini  Indubuisi (41)Raia wa Nigeria mkazi kimara temboni  Hadija jumanne ngoma (43)Raia wa Tanzania  mkazi wa kimaratemboni.

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni