Jumatatu, 3 Februari 2014

RAISI KIKWETE AWATAKA WADAU WA SHERIA KUTIMIZA MASHAURI YA KESI WA WAPO MAHAKAMANI ILI KUONDOA KERO ZA WANANCHI


RAIS  Wa jamuhuri yamuungano waTanzania  Jakaya kikwete amewataka  wadau wa sekta yasheria nchini kuzingatia haki katikakutimiza mashauri yao wawapo mahakamani  ili kupunguza mrundikano wa kesi katika mahakamani.

Akizungumza leo kwenye kilele chamaandimisho yasiku yasheria yanayo fanyika kilamwaka 3february Rais kikwete alisema ili haki iweze kutendeka lazima iendane nawakati.

‘’ili haki iwe yenye maana lazima haki hiyo itendeke kwa wakati kwa kushirikishawadau mbalimbali katika uwajibikaji katika  kutimiza haki nakuhakikisha haki hiyo inatendeka ‘’alisema Rais kikwete.

Rais kikwete alisema endapo kila sekta yasheria watatimiza wajibu wao ikiwemo polisi, taasisi yakuzuiananakupambana narushwa (Takukuru) wakifanikisha upelelezi wao wamashuri mbalimbali kuutasaidia kuondokana namrundikano  wamshauri hayo mahakamani .

Alisema kuwekuwa namalamiko mengi kwa wananchi kuwa baadhi ya wateja wao kwakutoa udhuru ili watajawao wa weze kushinda kesi. mawakili nchini wamekuwa wakichelewesha kesi iliwaweze kuwatetea iliwaweze kushinda kesi.
‘’kumekuwepo namalamiko yaupatikanaji wahaki kesi imeisha lakini hukumu haikufanyika bado ikiwa vyombo vyote vyasheria vikifanya vizuri haki itatendeka ‘’aliongeza Rais wajamuhuri yamuungano jakaya kikwete.
Aidha ,Rais kikwete aliongeza kuwa serikali inayo wajibu wakuwezesha vyombo vyake vinaweza kufanyakazi nakutekeleza majukumu yakutend ahaki . katika kuliwezeshahilo Rais kikwete alisema wameweza kuongeza majaji hadikufikia 69 mwaka huu.
aidha serikali imesema imewezesha kuanzisha kwamfuko wamahakama ambao utawawezesha majaji katika kutimiza majukumu yao nakuweza kujenga uwezo katikakukamisha shughuli za upelelezi namashitaka vina enda sambamba.
‘’kwaupande wetu serikali tutaendelea kutimiza wajibu wetu wakufanya kazinamajaji nimatumaini yetu kesi zitapungua mahakamani ‘’alisema Rais Kikwete.

Jaji mkuu wa Tanzania Othuman chande katika maadhimisho yasiku yasheria iliyofanyika leo alisema dhana yautendaji haki kwamujibu wa watalamu washeria ilianza tangu karne ya 12 nakuongeza kuwa dira ya mahakama nikutoa haki kwawote.
Alisema mifumo mingi yahaki ina ucheleweshaji nakusisitiza ilikuwezesh mahakama inafanyakazi yake kwakusahihi mnipamoja nakukusanya takwimu zilizo sahihi.
‘’mfumo bora wahaki niule wenye takwimu sahihi na wenyeubora ambapo mtendaji mkuu wa kisheria nimahakama na hakimu ndie mtendaji wamahakama’’alisema jaji othuman chande .

Jaji othumani chande alisema serikali yetu inayowajibu wa kuhakikisha haki zinalindwa kwakuanzisha mfumo wamahakama nakusitiza kuwa kumekuwa nachangamoto yaukosefu wafedha hali inayopelekea ucheweshaji mashauri.
Aliongeza kuwakatika takwimu zamakosa yajinai ulimwenguni nchi ya marekani ndio inayoongoza kuwa nakesi ya makosa jinai duniani.


Kwa upande wake Rais wachama cha mawakili Tanzania bara Franciss stola alisema kwamujibu washeria ibara ya 107(a) yajamuhuri ya muung ano  mahakama ndie mtendaji wamwisho.
Aliongeza kuwamawakili wanao wajibu wakutenda haki pindi wawapo kwenyemajukumu yaonakufika mahakamani kwawakati.
‘’muda wakuairisha kesi unatakiwa usizidi miezi 24na pamoja utaratibu wakuitisha vikao lazima ufuatwe’’alisema francis stola.
         


Kwa upande wake Rais wachama cha mawakili Tanzania bara Franciss stola alisema kwamujibu washeria ibara ya 107(a) yajamuhuri ya muung ano  mahakama ndie mtendaji wamwisho.
Aliongeza kuwamawakili wanao wajibu wakutenda haki pindi wawapo kwenyemajukumu yaonakufika mahakamani kwawakati.
‘’muda wakuairisha kesi unatakiwa usizidi miezi 24na pamoja utaratibu wakuitisha vikao lazima ufuatwe’’alisema francis stola.
         

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni