Jumatano, 5 Februari 2014

MEYA WAMANISPAA YATEMEKE AWATAKA MADIWANI KUSHUGULIKIA TATIZO LA ARIDHI KWENYE KATA ZAO ILI KUONDOA MIGOGORO YA ARDHI


Imebainika moja yachangamoto zilizo katika upimaji wa ardhi nikutopatikana kwa taarifa sahihi kutoka kwa baadhi yawatalaam wanahusika katika upimaji ardhi hali inayopelekea migogoro mingi itokanayo nakutopimwa kwa ardhi.

Akizungumza leo katika kikao cha madiwani yawilaya yatemeke diwani wa kata ya kimbiji katika wilaya hiyo Sanya Bunyae amesema kume ibuka matatizomengi yanayohusiana na ardhi katika kata za kisarawe ,semangaila .

‘’tume azihimimia swala upimaji waardhi liwe niswala la Halimashauri 
itimize wajibuwake nakutimiza sheria zilizopo nakuweka mashariti ya sheria hizo kwayeyote atakayekiuka sheria hizo za ardhi lazima sheria ifuate mkondo’’alisema Sanya bunyae .

Sa nyabunyae alisema jambo ambalo linanafanywa nahalimashauri za jiji madiwani hawatoachakuliingilia ilikupunguza migogoro inayotokana na ardhi.
Kwaupande wake mwenyekiti wamadiwani wakata yatemeke jijini Abass mtevu amewataka madiwani wakata zote zilizopo wilayani humo kuchunguza mikataba yaardhi ambayo ipo kinyume cha sheria na kuifuta mikataba hiyo
 .
Aidha kumekuwepo kwataarifa juu uzwaji waviwanja kiholela ndani ya kata yake haliinayopelekea mianya yarushwa katika maswala ya umikili wa aridhi kwenye kata yake nakuwataka madiwani waliopo katika kata yake kufanyauhunguzi kuhusiana natuhuma hizo.
‘’nataka mikataba ifutwe mbaka mtakapokaa mezani na halimashauri juu yatuhuma za uzwaji waviwanja 1000 kinyume cha sheria huu mgogoro umekuwa kwakipindi kirefu naumekukuwa umekuwa ukiwa husisha baadhi yamakada waccm’’alisema abbass mtevu.

Pia meya wamanispaahiyo aliwatataka baada yawiki mbili ilkuweza kupata taarifa za migogoro yaviwanja naupimaji wa ardhi kama uli vyo elezwa na wizara yanyumba namakazi kuhakikikisha aridhi za vijiji vina pimwa.

‘’maadhimio yetu nikusitisha swala la upimaji wa ardhi ilikujitahimini nakuweza kupata taarifa sahihi nakuwezeshaahalimashauri katika kukusanya mapato yatokanayo na ardhi’’ alisema meya wamanispaa ya temeke.

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni