RAIS Wa jamuhuri
yamuungano waTanzania Jakaya kikwete
amewataka wadau wa sekta yasheria nchini
kuzingatia haki katikakutimiza mashauri yao wawapo mahakamani
ili kupunguza mrundikano wa kesi katika mahakamani.
Akizungumza leo kwenye kilele chamaandimisho yasiku yasheria
yanayo fanyika kilamwaka 3february Rais kikwete alisema ili haki iweze
kutendeka lazima iendane nawakati.
‘’ili haki iwe yenye maana lazima haki hiyo itendeke kwa
wakati kwa kushirikishawadau mbalimbali katika uwajibikaji katika kutimiza haki nakuhakikisha haki hiyo
inatendeka ‘’alisema Rais kikwete.
Rais kikwete alisema endapo kila sekta yasheria watatimiza
wajibu wao ikiwemo polisi, taasisi yakuzuiananakupambana narushwa (Takukuru)
wakifanikisha upelelezi wao wamashuri mbalimbali kuutasaidia kuondokana
namrundikano wamshauri hayo mahakamani .
Alisema kuwekuwa namalamiko mengi kwa wananchi kuwa baadhi ya
wateja wao kwakutoa udhuru ili watajawao wa weze kushinda kesi. mawakili nchini
wamekuwa wakichelewesha kesi iliwaweze kuwatetea iliwaweze kushinda kesi.
‘’kumekuwepo namalamiko yaupatikanaji wahaki kesi imeisha
lakini hukumu haikufanyika bado ikiwa vyombo vyote vyasheria vikifanya vizuri
haki itatendeka ‘’aliongeza Rais wajamuhuri yamuungano jakaya kikwete.
Aidha ,Rais kikwete aliongeza kuwa serikali inayo wajibu
wakuwezesha vyombo vyake vinaweza kufanyakazi nakutekeleza majukumu yakutend
ahaki . katika kuliwezeshahilo Rais kikwete alisema wameweza kuongeza majaji
hadikufikia 69 mwaka huu.
aidha serikali imesema imewezesha kuanzisha kwamfuko
wamahakama ambao utawawezesha majaji katika kutimiza majukumu yao nakuweza
kujenga uwezo katikakukamisha shughuli za upelelezi namashitaka vina enda
sambamba.
‘’kwaupande wetu serikali tutaendelea kutimiza wajibu wetu wakufanya
kazinamajaji nimatumaini yetu kesi zitapungua mahakamani ‘’alisema Rais
Kikwete.
Jaji mkuu wa Tanzania Othuman chande katika maadhimisho
yasiku yasheria iliyofanyika leo alisema dhana yautendaji haki kwamujibu wa
watalamu washeria ilianza tangu karne ya 12 nakuongeza kuwa dira ya mahakama
nikutoa haki kwawote.
Alisema mifumo mingi yahaki ina ucheleweshaji nakusisitiza
ilikuwezesh mahakama inafanyakazi yake kwakusahihi mnipamoja nakukusanya
takwimu zilizo sahihi.
‘’mfumo bora wahaki niule wenye takwimu sahihi na wenyeubora
ambapo mtendaji mkuu wa kisheria nimahakama na hakimu ndie mtendaji wamahakama’’alisema
jaji othuman chande .
Jaji othumani chande alisema serikali yetu inayowajibu wa
kuhakikisha haki zinalindwa kwakuanzisha mfumo wamahakama nakusitiza kuwa
kumekuwa nachangamoto yaukosefu wafedha hali inayopelekea ucheweshaji mashauri.
Aliongeza kuwakatika takwimu zamakosa yajinai
ulimwenguni nchi ya marekani ndio inayoongoza kuwa nakesi ya makosa jinai duniani.
Kwa upande wake Rais wachama cha mawakili Tanzania bara
Franciss stola alisema kwamujibu washeria ibara ya 107(a) yajamuhuri ya muung
ano mahakama ndie mtendaji wamwisho.
Aliongeza kuwamawakili wanao wajibu wakutenda haki pindi
wawapo kwenyemajukumu yaonakufika mahakamani kwawakati.
‘’muda wakuairisha kesi unatakiwa usizidi miezi 24na pamoja
utaratibu wakuitisha vikao lazima ufuatwe’’alisema francis stola.
Kwa upande wake Rais wachama cha mawakili Tanzania bara
Franciss stola alisema kwamujibu washeria ibara ya 107(a) yajamuhuri ya muung
ano mahakama ndie mtendaji wamwisho.
Aliongeza kuwamawakili wanao wajibu wakutenda haki pindi
wawapo kwenyemajukumu yaonakufika mahakamani kwawakati.
‘’muda wakuairisha kesi unatakiwa usizidi miezi 24na pamoja
utaratibu wakuitisha vikao lazima ufuatwe’’alisema francis stola.
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni