Imebainika
moja yachangamoto zilizo katika upimaji wa ardhi nikutopatikana kwa taarifa
sahihi kutoka kwa baadhi yawatalaam wanahusika katika upimaji ardhi hali
inayopelekea migogoro mingi itokanayo nakutopimwa kwa ardhi.
Akizungumza
leo katika kikao cha madiwani yawilaya yatemeke diwani wa kata ya kimbiji
katika wilaya hiyo Sanya Bunyae amesema kume ibuka matatizomengi yanayohusiana
na ardhi katika kata za kisarawe ,semangaila .
‘’tume
azihimimia swala upimaji waardhi liwe niswala la Halimashauri
itimize wajibuwake
nakutimiza sheria zilizopo nakuweka mashariti ya sheria hizo kwayeyote
atakayekiuka sheria hizo za ardhi lazima sheria ifuate mkondo’’alisema Sanya
bunyae .
Sa nyabunyae
alisema jambo ambalo linanafanywa nahalimashauri za jiji madiwani hawatoachakuliingilia
ilikupunguza migogoro inayotokana na ardhi.
Kwaupande
wake mwenyekiti wamadiwani wakata yatemeke jijini Abass mtevu amewataka
madiwani wakata zote zilizopo wilayani humo kuchunguza mikataba yaardhi ambayo
ipo kinyume cha sheria na kuifuta mikataba hiyo
.
Aidha
kumekuwepo kwataarifa juu uzwaji waviwanja kiholela ndani ya kata yake
haliinayopelekea mianya yarushwa katika maswala ya umikili wa aridhi kwenye
kata yake nakuwataka madiwani waliopo katika kata yake kufanyauhunguzi
kuhusiana natuhuma hizo.
‘’nataka
mikataba ifutwe mbaka mtakapokaa mezani na halimashauri juu yatuhuma za uzwaji
waviwanja 1000 kinyume cha sheria huu mgogoro umekuwa kwakipindi kirefu
naumekukuwa umekuwa ukiwa husisha baadhi yamakada waccm’’alisema abbass mtevu.
Pia meya wamanispaahiyo
aliwatataka baada yawiki mbili ilkuweza kupata taarifa za migogoro yaviwanja
naupimaji wa ardhi kama uli vyo elezwa na wizara yanyumba namakazi
kuhakikikisha aridhi za vijiji vina pimwa.
‘’maadhimio
yetu nikusitisha swala la upimaji wa ardhi ilikujitahimini nakuweza kupata
taarifa sahihi nakuwezeshaahalimashauri katika kukusanya mapato yatokanayo na
ardhi’’ alisema meya wamanispaa ya temeke.
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni