Jumanne, 25 Februari 2014

MCT YATOA MAKUNDI YATAKAYOSHINDANISHWA KATIKA TUNZO ZA UMAHIRI WA HABARI 2013


BARAZA la  habari nchini (MCT)limetoa orodha ya majina ya waandishi wa takao ingia katika kinyang’anyiro cha kumtaafuta mwaandishi bora wa mwaka 2013 ambapo jumla ya waandishi  101 wameteuliwa kuwania tunzo hizo  zinanazo tambulika (EJAT)2013 .
Akizungumza na waandishi wa habari mwenyekiti wa kamati ya maanalizi yamashindano hayo kajubi  Mukajanga amesema tamashahilo la utoaji wa tunzo linatajiwa kufanyika katika ukumbi wa mlimani city jijini.
‘’idadi ya wateule nisawa na ongezeko la asilimia 24.6ikilinganishwa na mwaka jana ambapo wateule walikuwa 81 tu’’alisema mkajubi mkajanga.
Mkajanga alisema kati yahao 46 wanatoka kwenye magazeti 39wanatoka kwenye redio,wakati 16 wanatoka kwenye runinga .
Aliongeza kuwa wateule kwenye magazeti wameongezek a wateule watano ukilinganisha na mwaka jana ambapo alisema walikuwepo wateule 41kwenye redio wameonge zeka kufikia 39 ukilinganisha na wateule 21 wa mwaka jana. 
Alisititiza kuwa hata hivyo kwa upande waruninga idadi ya wateule imepungua kutoka wateule 19 mwaka jana  ukilinganishwa nawateule 16 kwa mwakahuu.
‘’jopo lamajaji lililo anza kupitia kazi tangu februay 10 hadi16 mwaka huu liliongozwa na mwenyekiti wa majaji ,Gervas Moshiro na wajumbe wengine  katika jopo hilo  walikuwa ,mwanzo milinga ,pili mtambalike, Chrysostom Rweimamu ,ananiela nkya ,jesekwayu, Hassan mittawi ,pudencia temba na suleimani kissoky.’’alisema mkajubi.
Mkajubi aliongeza kuwa kabla ya kupitia kazi hizo kwajili ya mashindano hayo majaji waliapishwa na Rais wa baraza la habari ambayeni jaji Rorbert Kisanga  January 29 mwaka huu.
Aliongeza kuwa kwamwaka huu idadi yawaandishi wa habari wanawake walioteuliwa imeongezeka nakufikia 18 ikilinganishwa na mwakajana ambaowalioteuliwa walikuwa 11tu sawa  naongezeko la asilmia 63.6 kwenye kinyanganyiro hicho.
‘’jopo lamajaji  wa EJAT 2013 walipitia jumla ya kazi za kushindaniwa 907 ikilinganishwa na mwakajana ambapo ziliwasilishwa kazi 946 ambapo mwaka2009kazi zakushi
Ndaniwa zilikuwa 304 mwaka 2010idadi iliongezeka hadi kufikia kazi 437mwaka 2011 zilipokelewa kazi 772’’alisema  mwenyekiti wa maandalizi ya ejat.
Aliongeza kuwa makundi yatakayo shindaniwa ni makun di ya uandishi wa habari za biashara nauchumi,uandishi wa habari zamichezo nautamaduni,habari za mazingira ,afya,uandshi wa habari wavvu pamoja naukimwi,habari za watoto ,utawala bora,jinsia,sayansi natenknolojia,uch unguzi,elimu,uifadhi,watu wenye ulemavu,kilimo.
aliyatata makundi mengineni mchora katuni bora mpiga picha bora kundi lawaandishi wanahusiana uzazi kwa vijana.

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni