Alhamisi, 23 Januari 2014

JAJI MSTAAFU MARK BOMANI AMPONGEZA MWENYEKITI WATUME MABADILIKO YAKATIBA KUANDAA RASIMU


Jaji waTanzania mstaafu Mark Bomani amesema mfumo wa serikali tatu ulioainishwa kwenye rasimu ya katiba ni halali kutokana mfumo wazamani kuwepo namapungufu makubwa.

Mfumo waserikali mbili ulianzishwa katika kipindi cha mpito nakuongeza kuwa mfumo waserilikali mbili niwakipindi kirefu unazaidi yamiaka 50 nasuala lakuanzisha mfumo waserikali tatu sio kweli tunaasi baadhi yamisingi iliyowekwa na waasisi wataifa hili.

Akizungumza na waandishi wahabari jijini leo,jaji Mark Bomani amesema Jaji warioba si mwanzilishi wa serikali tatu ambapo alisema aliyekuwa mwanzilishi waserikali tatu alikuwa ni Rais wa Zanzibar  Aboud jumbe  mwaka 1984 kwenye halimashauri kuu ya CCM ndiye aliyekuja naagenda hiyo yaeserikali tatu.


‘’wakwanza aliye anzisha suala laserikali tatu alikuwa ni mheshimiwa  Aboud jumbe akiwa Rais wazanzibar mwaka 1984 kwenye halimashauri kuu ya CCM alikuja na ajenda  ya serikali tatu’’alisema jaji  Mark Bomani.
 
Jaji  Bomani alisema Aboud jumbe aliondolewa kwenye nyadhif a na mara baada yakuondolewa mwaka 1991 Tume maalumu yenye mchanganyiko wa wazanzibar na  Tanzania bara iliyokuw achini ya jaji Nyalali aliyekuwa naye jaji mkuu watanzania nayo ilipendekeza maadhimio yaserikali tatu katika mapendekezo yake.

Aliongeza kuwa  baada yamapendekezo hayo kushindwa baada ya wabunge 55waliopekeza swalahilo laserikali tatu lilipelekea kuanguka kwa mheshimiwa Jonh  Malecela aliye kuwa waziri mkuu wakipindi hicho baada ya kushindwa kuwadhibiti wabungehao.

‘’ili undwa tume  tume yajaji kisanga mwaka 1998 ambapo ilkuwa nawajumbe kutoka Zanzibar na Tanzania bara ambayo ilipendeza mfumo waserikali tatu ambapo mapendekezo hayo yatupiliwa kwa kejeli kubwa’’aliongeza Jajibomani.
 
Jaji bomani aliongeza kuwa rasimu iliyotolewa itapelekea baadhi yaviongozi kupoteza nyadhifazao  alisema bila kujali maslahi yawatu kinachohitajikani maslahi yataifa kwanza.

Alisema mfumo waserikalimbili unatokana nakukosekana kwa mfumo waserikali uloasisiwa naviongozi wawili watanganyika nazanzibar  swala lamuungano lilikuwa nimatokeo yadharula

‘’mimi wakati huo nikiwa mmoja wawanasheria waanda mizi serikalini naweza kuthibitisha mfumo wakudumu ulikuwa uundwe baada yamiezi kumi namiwili baada kutiwa saini kwa arcticle union’’alisema jaji markbomani 

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni