Serikali kupitia wizara ya sayansi, mawasiliano nateknolojia imeweka mkakati wakuboresha huduma za mawasiliano vijijini kutokana
nakuwepo kwauukuaji wakasi wahuduma za Tehama pamoja na sekta yahabari na
mwasiliano.
Mkakati huo
wakupelekahudumavijijini umetokana nabaadhi yawadau wamawasiliano kuwaacha
kupeleka huduma hizo vijijini kutokana nakukosa soko maeneo yavijijini nakuleta
tofauti kubwa za kiuchumi nakibiashara.
Akizungumza
na waandishi wahabari leo waziri wasayansi natenknolojia profesa makame mbarawa
alisema lengo lakuanzishwa mfukowa mawasiliano nikuhakikisha watanzania wote
wanaoishi vijijijini wanafikiwa nahuduma yatehama.
‘’lengolakuanzisha
mfukohuu nikuhakisha watanzania wote ,hususan wale waishio vijini wanafikiwa
nahuduma ya Tehama ‘’alisema profesa makame mbarawa .
Aidha
profesa makame mbarawa alisema kutokana nakuwepo kwa changamoto kwabaadhi
yamakapuni yasimu kulekeza huduma zao mjini nakuwa achawatu wavjijini ndipo
serikali ikaamua kuwekampango waku boresha huduma vijijini.
Alisema
juhudi zakupeleka mawasiliano katika maeneo yavijijini na maeneo ambayo
hayanamvuto wakibishara zitawahusisha makampuni yasimu za
mikononi kwakuyapatiaruzuku
kupitiafedha zitakazotolewa na benki yadunia.
‘’utaratibu
wakuwapeleka huduma zasimu vijijini ulianza kwakutangaza zabuni yakupeleka
mawasiliano hayo kwenye kata 152 zilizopo kwenye mikoa 20 wilaya29 vijiji 869
vyenyejumla yawakazi 1,617,310 ambapo zitagharimu jumla shilingi bilioni 17.5
‘’aliongeza waziri wasayansi na tenknojia .
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni