Jaji waTanzania
mstaafu Mark Bomani amesema mfumo wa serikali tatu ulioainishwa kwenye rasimu
ya katiba ni halali kutokana mfumo wazamani kuwepo namapungufu makubwa.
Mfumo
waserikali mbili ulianzishwa katika kipindi cha mpito nakuongeza kuwa mfumo
waserilikali mbili niwakipindi kirefu unazaidi yamiaka 50 nasuala lakuanzisha
mfumo waserikali tatu sio kweli tunaasi baadhi yamisingi iliyowekwa na waasisi
wataifa hili.
‘’wakwanza
aliye anzisha suala laserikali tatu alikuwa ni mheshimiwa Aboud jumbe akiwa Rais wazanzibar mwaka 1984
kwenye halimashauri kuu ya CCM alikuja na ajenda ya serikali tatu’’alisema jaji Mark Bomani.
Jaji Bomani alisema Aboud jumbe aliondolewa kwenye
nyadhif a na mara baada yakuondolewa mwaka 1991 Tume maalumu yenye mchanganyiko
wa wazanzibar na Tanzania bara iliyokuw
achini ya jaji Nyalali aliyekuwa naye jaji mkuu watanzania nayo ilipendekeza
maadhimio yaserikali tatu katika mapendekezo yake.
Aliongeza
kuwa baada yamapendekezo hayo kushindwa
baada ya wabunge 55waliopekeza swalahilo laserikali tatu lilipelekea kuanguka
kwa mheshimiwa Jonh Malecela aliye kuwa
waziri mkuu wakipindi hicho baada ya kushindwa kuwadhibiti wabungehao.
Jaji bomani
aliongeza kuwa rasimu iliyotolewa itapelekea baadhi yaviongozi kupoteza
nyadhifazao alisema bila kujali maslahi
yawatu kinachohitajikani maslahi yataifa kwanza.
‘’mimi wakati huo nikiwa mmoja wawanasheria waanda mizi serikalini naweza kuthibitisha mfumo wakudumu ulikuwa uundwe baada yamiezi kumi namiwili baada kutiwa saini kwa arcticle union’’alisema jaji markbomani
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni