Jumatano, 5 Oktoba 2016

SERIKALI:WATANZANIA HUTESWA KATIKA FALME ZA KIARABU KUTOZINGATIA TAMADUNI NAMILA ZA NCHI HUSIKA

Timothy Marko.
SERIKALI imesema kuwa kitendo cha kuteswa nakudhalilishwa kwa Raia watanzania katika nchi za uarabuni ambapo Raia hao wanafanyakazi kimetokana nakutokuwepo kwa uelewa wautamaduni kati ya Nchi za urabuni na Tanzania .

Akizungumza na waandishi wahabari jijini Dar es salaam Mkuu wa masuala ya Mashariki ya kati Balozi Abdallah Kilima amesema kuwa watanzania wengi wanapofika katika nchi za Mashariki yakati hukutana nachangamoto ya kitamaduni ambapo watanzania wengi hujengatabia ya ''ujamaa '' pindi wanapo fika katika maeneo hayo ambapo nikinyume namila nataratibu za kiarabu .

''Kumekuwepo natatizo la  ki utamamaduni hasa katika nyanja za mahusiano ya boyfreand na girlfreand kwasisi watanzania wala hakuna tatizo ,lakini ukienda nchi za wenzetu hilo nitatizo kubwa kwani kitendo hicho nikosa lajinai '' Alisema Balozi Abdalah Kilima .

Balozi Kilima alisema kuwa katika nyumba zakiarabu wote wanauwezo sawa wakusema ndani yafamilia tofauti ya mila na desturi za watanzania ambapo mama nababa ndio wasemaji nawanaotoa maamuzi yafamilia .

Amesema kutokana wasichana wengi kutokuwa na maandalizi yautamaduni yaeneo husika kunachangiwa wasichana wakitanzania  wengi katika nchi za falme za kiarabu kudai  kuteswa naudahilishwa .

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni