WAZIRI WA VIWANDA NA BIASHARA AWATAKA NDC KUKAMILISHA MIRADI KWA WAKATI .
WAZIRI WA VIWANDA NA BIASHARA CHARLES MWIJAGE
Timothy Marko.Waziri wa Viwanda na Biashara Charles Mwijage amelitaka Shilika la Maendeleo nchini (NDC)kuendeleza miradi mbambali ikiwemo miradi mchuchuma na liganga ilimiradi hiyo iwezekuzalisha viwanda .
Waziri Mwijage ameyasema hayo wakati akizindua bodi ya shirika hilo iliyoteuliwa na Rais Dk. Jonh pombe Magufuli ambapo amesema kuwa nilazima bodi hiyo kufanya mapitio yaripoti mbalimbali inayohusu miradi ya mchuchuma na liganga ilikuweza kuzalisha viwanda vitakavyotumika katika kuzalisha dawa zitakazotumika kuuwa wadudu.
''Nilazima bodi ifanye mapitio ya miradi mbalimbali ikiwemo miradi yamchuchuma na liganga ilikuweza kuzalisha viwanda mbalimbali ikiwemo viwanda vyakuzalisha dawa za kulia wadudu na uzalishaji wa mataili ambapo ninatoa siku 40 kamilisha miradi hii''Alisema Waziri Charles Mwijage .
Mwijage alisema kuwa sambamba nauzanzishwaji wamiradi hiyo ,pia aliwataka shirika la maendeleo nchini kuweza kujua kiwango cha matairi yatakazalishwa ilikuweza kuleta mageuzi ya kiuchumi . Alisema kuwa endapo shirkahilo likawekajitihada za kuzalisha miradi mbalimbali kwa ufanisi itawezsha shirikahilo kukuza pato lataifa kutokana sekta hiyo .
Kwaupande wake mwenyekiti wa bodi hiyo alimuhaidi kutekeleza maagizo yaserikali yaliyotlewa na Waziri huyo.
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni