Rais wa Jamuhuri wa muungano wa Tanzania Dk.JONH POMBE MAGUFULI. |
utafiti umeoneshakuwa Wananchi waliowengi nchini ,wamefurahishwa nakitendo cha Rais Wa jamuhuri Wamuungano Wa Tanzania Dk.Jonh Pombe Magufuli chakuwaondoa wafanyakazi hewa kwenye malipo .
Utafiti huo uliofanywa na Shirika lisilo lakiserikali la Twaweza ulibainisha kuwa wananchi saba kati yakumi wamefurahishwa nakitendo cha Rais Magufuli kuwa ondoa wafanyakazi hewa na kuwa simamisha wafanyakazi walikutwa natuhuma za rushwa .
ulionesha kuwa katika masuala yaukwepaji kodi umekuwa nikipaombele cha rais huyo wa awamu yatano aliyeshinda uchaguzi hivi karibuni ambapo ulibainisha kuwa wananchi saba kati yakumi hawakubaliani nasuala ugizwaji wasukari kutoka nje .
''Utendaji wa Rais Magufuli tangu aingie madarakani umeonekana kujipatia umaarufu kwa wananchi ambapo zaidi ya asilimia96 wamekuwa wakiukubali utendaji wa Rais ''Ulisema Utafiti huo .
Aidha ,utafiti huo ulikosoa mwenendo waupatikanaji wataarifa za shughuli za kisiasa ambapo zaidi yaasilimia61 hawapati taarifa za kisiasa zinazo fanyika nchini.
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni