Ijumaa, 16 Septemba 2016

TPSF KUPELEKA MAMAPENDEKEZO KWA SERIKALI KUBORESHA UCHUMI.

Tokeo la picha la reginali mengi

Mwenyekiti wa TPSF REGINAL MENGI



Timothy Marko.
TAASISI Binafsi nchini(TPSF) inatarajia kupeleka Agenda zipatazo kumi kwa serikali ili  kuwezesha sekta yaviwanda kuweza kuchangia uchumi nchini .

Akizungumza na Waandishi wa Habari jijini Dar es salaam Mkurugenzi wa sera katika taasisi hiyo Gili Teri amesema kuwa moja ya agenda zitakazo tolewa mapendekezo kwa serikali ,nipamoja uzalishaji umeme ilikuweza kuchangia pato lataifa nakukuza uchumi .

‘’Agenda nyinginezo zitakazo jadiliwa nakupeleka mapendekezo kwa serikali nipamoja sekta yabandari ambapo tutatoa mapendekezo juu ya uboreshaji wasekta yabandari sambamba uboreshwaji wa mifumo ya kodi katika mamlaka ya mapato TRA’’ Alisema Mkurugenzi wa Sera Gili Teri .

Mkurugenzi wa Sera Teri alisema kuwa majadiliano hayo yataiiwezesha serikali kupanga mikakati kwa kushirikiana nataasisi binafsi ilikuweza kutatua changamoto la ukosefu wa ajira nchini 
.
Alisema kuwa moja yaagenda muhimu itakayo tolewa mkazo zaidi nakutolewa mapendekezo kwa serikali nipamoja nakuboresha sekta yakilimo ilikuweza kutatua changamoto yaajira nchini .

‘’Tunataka kuteng’eneza ajenda ambayo tutaiwakilisha kwa serikali juu yauboreshwaji wasekta yakilimo nakuwa kilimo cha kibiashara ilikuweza kuchochea uchumi nakuondokana tatizo la ajira kwa vijana ‘’aliongeza Teri .

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni