JAJI AKIZUNGUMZA NA WAANDISHI JUU MAPANGO WA MIAKA MITANO WA MABORESHO YA MAHAKAMA NCHINI |
JAJI wa Mahakama kuu Othumani Chande leo amezindua mpango
mkakati wa kuhudumia mahakama kwa mifumo ya Tehama ,mifumo hiyo inatarajiwa
kutumika sehemu mbalimbali za mahakama nchini iilikuweza kuharakisha mashauri
mbalimbali yanayotolewa namahakama kuu.
Akizindua mpango huo wenyekurasa kuminasaba jijini Dar es
salaam jaji Othumani Chande
amesema kuwa mpango huo utaendana mambo tisa
yaliypo katika mpango huo ikiwemo umuhimu wa majaji namahikimu wakuhifadhi
nyaraka kwanjia ya Tehama pamoja kuboresha mifumo ya utendaji wa majaji na watendaji wa mahakama unaozindatia
weledi washeria nchini .
‘’Mpango huu unalenga kuongeza ubora kwa watoaji hukumu
yani(quality justice )na uharakishaji wa utendaji wa haki ikiwemo utunzaji
wakumbukumbu na usuluhishi wakesi unaozingatia weledi wataluma yasheria ‘’Alisema
jaji Mkuu Othumani Chande .
JAJI Mkuu Chande alisema kuwa sambamba nauboreshwaji
wakumbukumbu ,pia mpango huo unalenga kuimarisha ukaguzi wa mahakama za mwanzo
zawilaya nazile zakati nakuboresha miundombinu ya mahakama .
Alisema kuwa Mradi huo wauboreshaji wamiundombinu namafunzo
yawatendaji wa mahakama unafadhiliwa nabenki yadunia ambapo jumla wilaya 26
zinatarajiwa kunufaika nampango huo ambapo wiliyahizo zimekuwa zikikabiliwa
nachangamoto ya Mahakama za wilaya .
‘’Mradi huu unaofadhiliwa nabenki yadunia unatarajiwa
kuzinduliwa tarehe 21 ya mwezi September mwaka huu tunatarajia mgeni Rasmi
atakuwa ni wazirimkuu ambaye anatarajiwa kuzindua mpango huu ambapo Nyanja mbalimbali
za utawalabora namifumo yamahakama vitaboreshwa ‘’ Aliongeza jaji Mkuu Othumani
Chande .
JAJI MKUU Chande aliongeza kuwa mradi wauboreshwaji wamiundo
mbinu na kuwajengea uwezo wa tumishi wamahakama wapatao 6400 unatarajia
kugharimu dola milioni 640 sawa bilioni 140 kwafedha za kitanzania .
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni