Timothy Marko.
ASKOFU wa Kanisa la Good News Ministry Charles Gadi amewataka wafanyabishara wanajihusisha nabiashara yasukari nchini kuachana na tabia ya kuficha sukari nakusababisha bidhaa hiyo kuuzwa kwa bei yajuu.
Akizungumza na waandishi wa Habari mapema hii leo jijini Dar es salaam Askofu charles Gadi amesema kuwa kutokana nawafuasi wadini yakisilam nchini kuwepo katika mfungo wa ramadhani upandaji wa bidhaa hiyo utasababisha madhara makubwa wakati wamfungo pindi waumini hao wanapotaka kufuturu.
''tunaiomba serikali iagize sukari kwa wingi ilindugu zetu wadini yakisilamu waweze kutimiza rahisi nguzo muhimu kipindi cha mwezi wa ramadhani ''Alisema Mchungaji GADI.
MCHUNGAJI Gadi alisema kufuatia mauaji yafamilia yaliyotokea huko kiwawalani kwamtu mmoja kuwauwa waliopo katikanyumba kwasabababu zisizojulikana mchungaji huyo aliongeza kuwa nilazima vyombo vyaulinzi nausalama kuweza kudhibiti vitendo hivyo kwani hatari kwamstakabali wataifa.
alisema kuwa vitendo vyauchomaji wanyumba kwaitikadi yadini havina nafasi katika taifa letu kwani vitendo hivyo vinalenga kutugawa kwaitikadi yakidini hivyo vinatakiwa kukemewa.
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni