Timothy
Marko.
IMELEZWA
kuwa watanzania wengi hunywa lita 47 kwamwaka ikilinganishwa na mapendekezo ya
shirika la afya duniani (WHO)ambapo shirika hilo linapendekeza wastani walita
200 kwa mwaka.
Akizungumza
na waandishi wahabari mapema hii leo jijini Dar es salaam kaimu Msajili wa bodi
yamaziwa nchini Nelson Kilongo amesema kuwa kiwango chamifugo kinachozaliashwa
nchinikitokanacho na uzalishwaji wamaziwa niasilimia 30 wakati huo huo ni yangombe
wote wanaozalisha maziwa ambapo asilimia 70 yangombe hao niwakisasa .
‘’TANZANIA
huzalisha lita 2.2 bilioni za maziwa wakati ni asilimia 70 yamaziwa
yanayozalishwa asilimia 90 yamaziwa hutumika katika uzalishaji wakati asilimia
10 ya maziwa hutumika katika kama bidhaa ya biashara ‘’Alisema Nelson KILONGO .
Kaimu
msajili wa bodi Kilongo alisema kuwa zaidi yamaziwa yanayozalishwa nchini
niasilimia 3hutumika viwandani .
Alisema kuwa
zaidi yazao la maziwa asilimia 15 nimaji wakati asilimia 85 inavirubisho muhimu
kwaajili ya afya ya binadamu ambayo niprotini .
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni