Jumatano, 18 Mei 2016

WATANZANIA HUNYWA LITA 47 ZA MAZIWA KWAMWAKA .



Timothy Marko.
IMELEZWA kuwa watanzania wengi hunywa lita 47 kwamwaka ikilinganishwa na mapendekezo ya shirika la afya duniani (WHO)ambapo shirika hilo linapendekeza wastani walita 200 kwa mwaka.
Tokeo la picha la bodi ya maziwa tanzania
Akizungumza na waandishi wahabari mapema hii leo jijini Dar es salaam kaimu Msajili wa bodi yamaziwa nchini Nelson Kilongo amesema kuwa kiwango chamifugo kinachozaliashwa nchinikitokanacho na uzalishwaji wamaziwa niasilimia 30 wakati huo huo ni yangombe wote wanaozalisha maziwa ambapo asilimia 70 yangombe hao niwakisasa .

‘’TANZANIA huzalisha lita 2.2 bilioni za maziwa wakati ni asilimia 70 yamaziwa yanayozalishwa asilimia 90 yamaziwa hutumika katika uzalishaji wakati asilimia 10 ya maziwa hutumika katika kama bidhaa ya biashara ‘’Alisema Nelson KILONGO .

Kaimu msajili wa bodi Kilongo alisema kuwa zaidi yamaziwa yanayozalishwa nchini niasilimia 3hutumika viwandani .

Alisema kuwa zaidi yazao la maziwa asilimia 15 nimaji wakati asilimia 85 inavirubisho muhimu kwaajili ya afya ya binadamu ambayo niprotini .

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni