Timothy Marko.
TAASISI ya Moyo ya Jakaya kikwete kwa kushirikina na Hospitali ya BLK yanchini India imeweza kufanya upasuaji mkubwa wamoyo mkubwa baada yakupandikiza mishipa ya damu kwenye moyo .
Akizungumza
na waandishi wa habari mapema hii leo jijini Dar es salaam Kaimu Mkurugenzi wa
taasisi hiyo Dk.Peter Kisenge amesema kuwa upasuaji huo wa moyo ni upasuaji wakwanza katika ukanda wan chi za
afrika Mashariki nakati.

‘’Watalamu
hawa watakuwa kwakipindi cha muda siku mbili watatoa mafunzo kwa watoa huduma
ya taasisi yamoyo ambapo zaidi yashilingimilioni180 zitatumika katika undeshaji
wamradi huu ‘’Alisema Kaimu Mkurugenzi Peter

Kaimu Mkurugenzi Peter alisema kuwa sambamba nazoezi hilo laupasuaji wamishipa
yadamu kwenye moyo pia taasisi hiyo inatarajia kuwapa mafunzo wa taalamu wa
sekta hiyo .Alisema
upasuaji huo utaendana sambamba naupasuaji wakifua ,vipandikizi na vizibua njia
na huduma nyinginezo .

Hakuna maoni:
Chapisha Maoni