CHUO cha elimu Biashara nchini (CBE )Kimekanusha madai yaliyotolewa na gazeti la dira ya mtanzania toleo 419 la tarehe 23 -29 mei mwaka huu na gazeti lasema usikike la mei 23 mwaka huu baada ya magazeti hayo kuandika tuhuma za ubadilifu ya shingi milioni 400.
Akizungumza na waandishi wa habari mapema hii leo jijini Dar es salam mhadhiri Emanueli MJEMA amesema kuwa hakuna ubadilifu uliofanywa nachuo hicho wa shilingi milioni 400 Katika Kampasi ya Dodoma ,MWANZA alibainisha kuwa fedha zilizotolewa kwenye kampasi hizo zote hulipwa kwanjia ya benki na mwanafunzi huleta lisiti ya malipo ya ada .
‘’Hakuna mwanachuo wanao pewa vyeti wakiwa wanadaiwa ada kama ilivyo elezwa nabaada yake chuo huwa hakiruhusu mwanachuo anayedaiwa ada kuweza kufanya mtihani hivyo uwezekano kwa wanafunzi wanaodaiwa ada kupewa vyeti haupo kabisa ‘’Alisema Mhadhiri Emanuel Mjema .
Mjema alisema kuwa mchanganuo naufanuzi uliotolewa namagazeti hayo jumla fedha 26,81500 katika tawi ladodoma walishawachukulia hatua watuhumwa waliohusika nasakata hilo .
Alisema Suala laubadilifu wa fedha za chuo tawi lajijini MWANZA Kiasi cha shilingi 13000000 zilizo ibiwa namhasibu joanitha Mugyaabuso fedha hizo zimesharudishwa na tuhumahizo zimesharipotiwa katikajeshi lapolisi Mwanza.
‘’Kuhusiana ukaguzi wan je wa BDO east AFRICA TANZANIA Katika ripoti yao haikuficha ukweli kama ilivyelezwa katika gazeti nawala haikiubaini ubadlifu wamilioni 400’’Aliongeza Mjema.
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni