KUJITATHIMINI KWA WAWEKEZAJI KATIKA SOKO LAHISA DSE YAONGEZA MAUZO YA HISA .
Timothy Marko.
MENEJA Mauzo na
biashara wa Soko la Hisa la Dar es salaam (DSE) Patrick Mususa amesema kuwa
Benki yakibiashara ya NMB inatarajia kutoa hati fungani ilikuweza kuikopesha
serikali ilikuziwezesha tasisi za serikali kuweza kuuza hati fungani katika
mnada wahati fungani uliorodheshwa katika soko hilo .
Akizungumza na waandishi wahabari jijini Dar es salaam Patrick
Mususa amesemakuwa mashariti yakukopeshwa hati fungani ina muwezesha mwekezaji
katika soko hilo la hisa kuweza kuongeza thamani ya riba ya asilimia kila mwaka
nakuweza kumuwezesha muwekezaji kuweza kupata gawio litokana lo na kiwa ngo cha
riba hiyo.
‘’Hati fungani inayorodheshwa katika soko letu ina muwezesha
muwekezaji ,taasisi kuweza kuuza hisa zake kwenye mnada wa soko letu ‘’Alisema
Meneja Mauzo na Biashara na Mauzo Patrick Mususa .
Meneja MUSUSA alisema kuwa yawanafunzi 3160 wavyuo vyajuu wameweza
kuingia katika shindano la scholar Investment challenge ambapo chuo cha mipango
chadodoma ndicho kinaongoza kwa kuwa idadi yawanafunzi wengi kikikwa najumla
wanafunzi 77 waliojiunga katika shindano hilo wakati chuo cha mtakatifu
agustino kinashika nafasi yapili kwakuwa najumla wanafunzi 74 huku chuo kikuu
cha Dar es salaam ikikiwa naidadisawa ya washiriki na chuo chausimamizi wafedha kwa kuwa
nawanafunzi 44.
Alisema kuwa Mauzo ya hisa yameweza kupungua kutokashilingi
bilioni 7 hadi kufikia shilingi bilioni 1.7 kwa wiki hii hali iliyochangiwa na
Makapuni mengi kujitathimini katika mauzo ya hisa zake kupitia soko hilo .
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni