Jumatatu, 9 Mei 2016

KUJITATHIMINI KWA WAWEKEZAJI KATIKA SOKO LAHISA DSE YAONGEZA MAUZO YA HISA .

Timothy Marko.
MENEJA  Mauzo na biashara wa Soko la Hisa la Dar es salaam (DSE) Patrick Mususa amesema kuwa Benki yakibiashara ya NMB inatarajia kutoa hati fungani ilikuweza kuikopesha serikali ilikuziwezesha tasisi za serikali kuweza kuuza hati fungani katika mnada wahati fungani uliorodheshwa katika soko hilo .


Akizungumza na waandishi wahabari jijini Dar es salaam Patrick Mususa amesemakuwa mashariti yakukopeshwa hati fungani ina muwezesha mwekezaji katika soko hilo la hisa kuweza kuongeza thamani ya riba ya asilimia kila mwaka nakuweza kumuwezesha muwekezaji kuweza kupata gawio litokana lo na kiwa ngo cha riba hiyo.


‘’Hati fungani inayorodheshwa katika soko letu ina muwezesha muwekezaji ,taasisi kuweza kuuza hisa zake kwenye mnada wa soko letu ‘’Alisema Meneja Mauzo na Biashara na Mauzo Patrick Mususa .


Meneja MUSUSA alisema kuwa yawanafunzi 3160 wavyuo vyajuu wameweza kuingia katika shindano la scholar Investment challenge ambapo chuo cha mipango chadodoma ndicho kinaongoza kwa kuwa idadi yawanafunzi wengi kikikwa najumla wanafunzi 77 waliojiunga katika shindano hilo wakati chuo cha mtakatifu agustino kinashika nafasi yapili kwakuwa najumla wanafunzi 74 huku chuo kikuu cha Dar es salaam ikikiwa naidadisawa ya washiriki  na chuo chausimamizi wafedha kwa kuwa nawanafunzi 44.


Alisema kuwa Mauzo ya hisa yameweza kupungua kutokashilingi bilioni 7 hadi kufikia shilingi bilioni 1.7 kwa wiki hii hali iliyochangiwa na Makapuni mengi kujitathimini katika mauzo ya hisa zake kupitia soko hilo .


Hakuna maoni:

Chapisha Maoni