Jumatatu, 25 Aprili 2016

TUME YA HAKI ZA BINADAMU YAIANGUKIA JESHI LAPOLISI NCHINI .

Tokeo la picha la tume ya haki za binadamu na utawala boraTimothyMarko.
Tume ya haki za binadamu nchini imesema kuwa Tanzania imekuwa ni nchi ambayo inauvunjifu mkubwa wa Haki za binadamu katika mwenendo mzima wa Haki jinai .

Akizungumza nawaandhishi wahabari mapema hii leo jijini Dar es salaam Kamishina wa tume yahaki za binadamu Kelvin Mandopi amesema kuwa katika utafiti uliofanywa natume hiyo umebainikuwa jeshi la polisi nchini limekuwa likiongoza kwakutotoa haki jinai pale mtuhumiwa anapo kamatwa .

''Mfumo wahaki jinai unaanza pale mtu anapokamatwa nakufanyiwa mahojiano na vyombo vyadola nahata anapowekwa mahabusu nakupelekwa gerezani kwamujibu wa mkataba wa Luwanda ibara 13(1)ya katiba yajamuhuri ya muungano wa TANZANIA ya mwaka1977 pamoja naibara6  waafrika wahaki zabinadamu kama vile haki kuwa huru,ulinzi wautu wamwadamu nahaki yakutohukumiwa bilakufuata sheria mikataba hii yote inakataza mtu kuadhibiwakinyama nakupewa adhabu zinzowezakudhalisha ''Alisema Kamishina watume  HAKI za binadamu Kelvin MANDOPI.

Kamishina Mandopi alisemakuwa kwamujibu washeria yajeshi lapolisi yamwaka   2002 kifungu cha 27(3)jeshi laplisi limepewamamlaka yakumkamata mtu yeyote ikiwa kunasababu yakufanya hivyo .

Alisema hata hivyo kumekuwa namapungufu naukinzani washeria nasheria zakimataifazamkataba waluwanda ambao unamkataza mtu kuwekwa kizuizini .

''Asilimia 65 yamalamiko yanayotolewa dhidi ya polisi yanahusiana nakupigwa ,kuteswa kubambikiziwa kesi ,kunyimwa dhamana,kutofikishwa mahakamani kwa wakati nakucheleweshwa upelelezi ''Aliongeza Mandopi .

Kamishina mandopi aliongeza kuwa mambo yote hayo yanakiuka misingi yahaki zabinadamu pamoja namkataba luwanda ambayo tanzania imeridhia mkata bahuo kamasheria za kimataifa .

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni