HOSPITAL YA TAIFA MUHIMBILI JIJINI DAR ES SALAM |
Hospitali ya Taifa Muhimbili imekanusha madai yaliyotolewa dhidi yahospitali hiyo kuwa hospitali imesitisha huduma ya Matibabu ya cell ndundu (ciclecell) na kukuongeza kuwa hivi karibuni wagonjwa wapatao 6000walikuwa wakifanyiwa utafiti kuhusiana na mwenendo wa ugonjwa huo .
Hatua hiyo imekuja baada yamgonjwa wa ugonjwa huo Yasimini Razaki kuzungumza na waandishi wahabari kuwa matibabu yaugonjwa huo yamesitishwa nakuwa kumekuwa nagharama kubwa katika kupatiwa huduma ya matibabu yaugonjwa huo .
akizungumza na wandishi wahabari mapema hii leo Mkurugenzi wa taifa Muhimbili Profesa Rauna Mseru amesemakuwa wagonjwa hapo awali walikuwa wakifanyiwa utafiti bure nakufanyiwa matibabu bure kutokana wagonjwahao walikuwa kama sampuli ya ugonjwahuo ilikuweza kubaini hali yaugonjwa huo .
Mkurugezi Profesa Rauna alisemakuwa kutokana nagharama za vipimo vya M.R.I kuwakubwa ndipo hospitali hiyo ikiamua kutoza gharama hizo lakini gharama hizo zilikuwa zikilipiwa nataasisi za kudhibiti ugonjwa wa ciclecell ambazo mwanachama analipiwa kutoka kwenye taasisi hiyo kwanjia yakadi maalumu .
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni