Timothy Marko.
MKUU wamkoa wa Dar es salaam ameliagiza jeshi lapolisi kanda maalum jijini Dar es salaam kuwakamata wote wanajishughulisha nabiashara yaomba omba nakusisitiza kazi hiyo imefikia kikomo leo na kusisitza jeshi hilo lifanye oparesheni hiyo kuanzia jumatatu.
Akizungumza nawandishi wahabari katika ofisi za kanda maalumu za jeshi hilo Mkuu wamkoa Paul Makonda amesema nilazima jijihilo ambalo nimaarufukwa biashara katikanchi za afrika mashariki kuwa nautaratibu waufanyaji kazi zake kwa kuzingatia taratibu.
''Nilazima mji wetu ifike mahali tuwe nautaratibu wautendaji kazi kwa kufuata taratibu kanuni nasheria nilaliagiza jeshi lapolisi nikiwa kama mwenyekekiti wakamati ya ulinzi nausalama kuanza kutekeleza agizo hili ninalo litoa hii leo''Alisema MKuu wamkoa Paul Makonda .
MAkonda alisema kuwa kumekuwa nabaadhi yawazazi huwatumia watoto wao kama ombaomba kama biashara kazi hiyo imefika kikomo kuanzia jumatatu nakuwaasa wazazi hao watafute biashara nyingine .
Alisema sambamba nakusitishwa kwabiashara yaombaomba jijini humo pia mkuu wamkoa huyo ameyataka majengo yote yaliyo katikati yamji kuwa nasehemu za maegesho yamagari .
''Kumekuwa wamiliki wabaa wamekuwa wakipiga mziki usiku kucha kwenye makazi yawatu ninatoa onyo kuwa baa zote zifungwe mwisho saa sita usiku .''Aliongeza Makonda.
Kamishina wakanda maalum Simon SIRRO amesemakuwa jeshi lake lipo tayari kutekeleza agizo lamkuu wamkoa huyo nakusisitiza kuwa itaendelea kufanya oparesheni ya madada poa na makaka poa nakuweza kufuatilia vikundi vya ulinzi shirikishi visvyokuwa nakibali maalum.
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni