Jumanne, 12 Aprili 2016

KAMPUNI YA DMM YAANZISHA SHINDANO LAWAZO LABIASHARA KWA WAJASILIAMALI.

Timothy Marko.
kampuni ya DMM Africa limeanzisha shindano la wazo lakibishara ambapo shindano hilo linalenga kuwa jengea uwezo wajasilimali wadogo wadogo navijana wanao anza bishara ilkuweza kuwa na mitaji mikubwa .

Akizungumza na waandishi wahabari jijini Dar es salaam Mkurugenzi wa Habari na mawasiliano wa kampuni hiyo Atsushi Sonobe amesema kuwa shindano hilo linalotarajiwa kuanza aprilmosi hadi 30 mwaka huu litajumuisha nchi za kenya,Rwanda ,zambia nazimbabwe na Mwenyeji Tanzania .

''shindano hili litafanyika katika nchi tano ambapo Tanzania itakuwa mwenyeji wa hindano hili ,ambapo mshindi atapata nafasi yakusafiri kwenda japani kuona kwa undani fursa za kibiashara ''Alisema Mkurugenzi waidara Atsushi Sonobe.

Atsushi alisema kuwa shindano hilo litajumuisha mdhamini mkuu ambaye ni nchi yajapan kutoka kampuni yaDDM Kutoka nchi hiyo wakati huo huo aliwataja wadhamini wengine nicitycom.office depot.

alisema kampuni hiyo yakutoka nchini japan inalenga kuendesha shindano hilo kuwawezsha wajasiliamali wadogo wadogo kuwa namawazo yaliyo nauhalisia ilkuleta  biashara yaushindani kwa wajasiliamali wadogowadogo barani afrika.

''shindano hili linajumuhisha hatua tatu ambapo hatua yakwanza nipamoja na kushiriki kwanjia yamtandao ,kwakutembelea mtandao wa dmmafrica,hatua yapili washiriki katika kilanchi kutakuwa nafainali ,nahatua yamwisho mshindi  watanzania mmoja atachaguliwa katika shindano hilo kwenda kuangana nawashirikiwengine  katikanchi hizo''aliongeza Mkurugenzi Atsushi SONOBE.

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni