Alhamisi, 28 Aprili 2016

PATO LA SEKTA YA MADINI LA LAFIKIA SHILINGI BILIONI 124 KWENYE PATO LA TAIFA .

Moja yamadini  ya ALMASI yanayopatikana katika nchi ya TANZANIA
Timothy Marko.

Mapato yatokanayo na sekta  yamadini katika kipindi cha mwaka 2013/14 yameongezka kutoka asilimia 3hadi kufikia asilimia 5 katika uchangiaji wa pato lataifa .

Kuongezeka kwa asilimia hiyo kumetokana na mapendekezo kati yaserikali na makampuni yanayojishughulisha katikauchimbaji wamadini hapa nchini ambapo mapato yaserikali yameongezeka  kutoka shilingi bilioni 1221( 2009 ) hadi shilingi bilioni128 (2014).

Akizungumza na waandishi wa habari Mwenyekiti wakamati yauwazi wa mapato yatokanayo namadini na gesi jaji Mark BOMANI amesema kuwa ongezeko hilo nimarakumi yakipindi cha miaka mitano iliyopita katika sekta hiyo katika kuchangia pato lataifa yani GDP.


''Ongezeko hili limetokana namrahaba uliokuwa asilimia tatu katika kipindi chamwaka2009 hadikufikia asilimiatano mwaka 2014 hatuahii imetokana na mapendekezo yamakampuni yasekta yamadini naserikali kuongezewa mrabaha hatahivyo baadhi yamakampuni hayo yamekubalimrabaha huo kwashingo upande ''Alisema Mwenyekiti Wa kamati JAJI  MARK bomani .


Jaji Bomani alisema kuwa pamoja na mapendekezo hayo lakini kumekuwa namvutano wa asilimia 60 ya mauzo ya mapato ya madini kwenyemakapuni hayo yarejeshwe nchini jambo ambalo lilileta msuguano baina yaserikali na makampuni hayo ya yuwekezaji katikasekta yamadini.


''kampuni za madini yadhahabu kwenye mikataba maalum special mining Development agrement zili ruhusiwa kuweka nje mauzo yao yote ,kinyume nautaratibu wakapuni nyingine ambazo hutakiwa kurejesha nchini mauzo yao .''Aliongeza jaji Bomani.

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni