Blogu hii makini iko kwa ajili ya kuhabarisha masuala ya kijamii, kisiasa, kiuchumi na kiutamaduni. Karibuni sana.
Alhamisi, 28 Aprili 2016
PATO LA SEKTA YA MADINI LA LAFIKIA SHILINGI BILIONI 124 KWENYE PATO LA TAIFA .
Moja yamadini ya ALMASI yanayopatikana katika nchi ya TANZANIA
Timothy Marko.
Mapato
yatokanayo na sekta yamadini katika kipindi cha mwaka 2013/14
yameongezka kutoka asilimia 3hadi kufikia asilimia 5 katika uchangiaji
wa pato lataifa .
Kuongezeka
kwa asilimia hiyo kumetokana na mapendekezo kati yaserikali na
makampuni yanayojishughulisha katikauchimbaji wamadini hapa nchini
ambapo mapato yaserikali yameongezeka kutoka shilingi bilioni 1221(
2009 ) hadi shilingi bilioni128 (2014).
Akizungumza
na waandishi wa habari Mwenyekiti wakamati yauwazi wa mapato yatokanayo
namadini na gesi jaji Mark BOMANI amesema kuwa ongezeko hilo nimarakumi
yakipindi cha miaka mitano iliyopita katika sekta hiyo katika kuchangia
pato lataifa yani GDP.
''Ongezeko
hili limetokana namrahaba uliokuwa asilimia tatu katika kipindi
chamwaka2009 hadikufikia asilimiatano mwaka 2014 hatuahii imetokana na
mapendekezo yamakampuni yasekta yamadini naserikali kuongezewa mrabaha
hatahivyo baadhi yamakampuni hayo yamekubalimrabaha huo kwashingo upande
''Alisema Mwenyekiti Wa kamati JAJI MARK bomani .
Jaji
Bomani alisema kuwa pamoja na mapendekezo hayo lakini kumekuwa
namvutano wa asilimia 60 ya mauzo ya mapato ya madini kwenyemakapuni
hayo yarejeshwe nchini jambo ambalo lilileta msuguano baina yaserikali
na makampuni hayo ya yuwekezaji katikasekta yamadini.
''kampuni
za madini yadhahabu kwenye mikataba maalum special mining Development
agrement zili ruhusiwa kuweka nje mauzo yao yote ,kinyume nautaratibu
wakapuni nyingine ambazo hutakiwa kurejesha nchini mauzo yao
.''Aliongeza jaji Bomani.
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni