MWENYEKITI WA KAMATI YA MIUNDOMBINU NORMAN ADAMSON SIGARA |
Timothy Marko.
KAMATI ya
Bunge ya miundombinu imeitaka mamlaka ya Bandari nchini TPA kuweza kutumia
fedha ipasavyo nakuweza kuongeza makusanyo ya kodi yanayotokana na bandari ili
kuweza kuboresha sekta yamiundo mbinu katika kukuza uchumi .
Akizungumza
na waandishi wa habari Mwenyekiti wa
kamati ya miundo mbinu Norman Adamson Sigara amesema kuwa katika sekta ya
bandari katika nchi za ukanda wakusini mwa afrika bandari ya Duban ndiyo yenye
kivutio kikubwa hivyo sekta yabandari nilazima iweke juhudi katika utendaji wake
ilikuweza kukuza uchumi .
‘’Hadi
kufikia hivisasa bandari imekuwa ikiongeza uwezo wake kwa siku ambapo jumla
yamakotena 10 kwasiku hupakuliwa kila siku hivyo nilazima bandari iongeze uwezo
wake katika kukusaya mapato ya serikali kwani hivi sasa tupo katika ushindani
nanchi zilizopo kusini mwa afrika ambapo bandari ya Durban ya afrika kusini
ndio inayo ongoza katika ukanda huu kusini wa afrika’’Alisema Mwenyekiti
Adamson SIGARA .
Adamson
SIGARA alisema kuwa kumekuwa nachangamoto nyingisana katika sekta yaviwanja
vyandege imekuwa ikusanya fedha lakini hairusiwi kutumia fedha zake .
Alisema kuwa
kumekuwa naushindani mkubwa katika sekta yaviwanja vyandege ambapo uwanja
waNairobi ndio una ndege nyingi ikilinganishwa na uwanja wa Dar es salaam .
‘’uwanja wa
Dar es salaam sana ukiinganishwa na uwanja wa Nairobi ambapo gharama za mapato
za uwanja wandege wa Dar es salaam zimekuwa niza juu sana ikilinganishwa na
Nairobi ‘’Aliongeza Sigara .
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni