Alhamisi, 17 Machi 2016

KAMATI YABUNGE YA ISHUKIA MAMLAKA YA BANDARI ,YAITAKA KUONGEZA MAKUSANYO

Tokeo la picha la dr norman adamson sigalla

MWENYEKITI WA KAMATI YA MIUNDOMBINU NORMAN ADAMSON SIGARA



Timothy Marko.
KAMATI ya Bunge ya miundombinu imeitaka mamlaka ya Bandari nchini TPA kuweza kutumia fedha ipasavyo nakuweza kuongeza makusanyo ya kodi yanayotokana na bandari ili kuweza kuboresha sekta yamiundo mbinu katika kukuza uchumi .

Akizungumza na waandishi wa habari Mwenyekiti  wa kamati ya miundo mbinu Norman Adamson Sigara amesema kuwa katika sekta ya bandari katika nchi za ukanda wakusini mwa afrika bandari ya Duban ndiyo yenye kivutio kikubwa hivyo sekta yabandari nilazima iweke juhudi katika utendaji wake ilikuweza kukuza uchumi .

‘’Hadi kufikia hivisasa bandari imekuwa ikiongeza uwezo wake kwa siku ambapo jumla yamakotena 10 kwasiku hupakuliwa kila siku hivyo nilazima bandari iongeze uwezo wake katika kukusaya mapato ya serikali kwani hivi sasa tupo katika ushindani nanchi zilizopo kusini mwa afrika ambapo bandari ya Durban ya afrika kusini ndio inayo ongoza katika ukanda huu kusini wa afrika’’Alisema Mwenyekiti Adamson SIGARA .

Adamson SIGARA alisema kuwa kumekuwa nachangamoto nyingisana katika sekta yaviwanja vyandege imekuwa ikusanya fedha lakini hairusiwi kutumia fedha zake .

Alisema kuwa kumekuwa naushindani mkubwa katika sekta yaviwanja vyandege ambapo uwanja waNairobi ndio una ndege nyingi ikilinganishwa na uwanja wa Dar es salaam .

‘’uwanja wa Dar es salaam sana ukiinganishwa na uwanja wa Nairobi ambapo gharama za mapato za uwanja wandege wa Dar es salaam zimekuwa niza juu sana ikilinganishwa na Nairobi ‘’Aliongeza Sigara .

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni