Timothy Marko.
JESHI
lapolisi kanda maalum jijini Dar es salaam
lina washikilia watu ishirini na mbili kwa tuhuma za kujiusisha na
tuhuma za ujambazi .
Akizungumza
na waandishi wa habari Kamishina wa polisi Kanda maalum ya Dar es salaam Simon
SIRRO amesema kuwa mnamo febuary 10 mwaka huu majira ya saa mbili usiku huko
bunju B askari walifanikiwa watuhumiwa waujambazi wapatao kumi na tisa .
‘’Mtoa
taarifa ambaye nimfanya biashara alisema alivamiwa na majambazi watatu waliokuwa
na mapanga ,marungu ambapo watuhumiwa hao walimshabulia kwa mapanga nakupora
shilingi 600,000 nakushambulia Gaudene Patrick
kwa marungu ‘’Alisema Kamishina Simoni Sirro.
Kamishina
SIRO alisema kuwa baada yakufanya tukio hilo walikimbia katika eneo latukio
kwatumia pikipiki ,aidha jeshi hilo la polisi ninawashikililia Musa saidi (30)mkazi wambagala kiburugwa
,Mohamed CHINGA(32)mkazi wa madene kwa tukio la uhalifu .
Katika hatua
nyingine jeshi hilo limefanikiwa kuamata silaha moja aina ya BASTOLA BROWING
yenye namba za usajili A.279112 ambayo
imetengenezwa katika jamuhuri ya zec.
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni