Jumatano, 23 Desemba 2015

WATAHINIWA 236 WAMEFAULU MTIHANI WA BODI YA UHASIBU (NBAA)

Timothy Marko. JUMLA ya watahiniwa 236 kati yawatahiniwa 5,679 wamefaulu mtihani wa bodi ya uhasibu NBAA uliofanyika Novemba mwaka huu. Pia watahiniwa 258 sawa na asilimia 4.5 wameweza kufaulu masomo yao ambayo walikuwa wameshindwa hapo awali . Takwimu hizo zimetolewa mapema hii leo jijini Dar es salaam na Mkurugenzi wa mtendaji Pius Maneno wakati akizungumza na waandishi wahabari kuhusiana nataarifa za matokeo hayo ambapo alisema anguko hilo nisawa na asilimia 11.3 ambapo jumla yawatahiniwa 258 walifaulu kutokana nakurudia mitihani ya nyuma . ‘’WATAHINIWA 236 ambao wamefaulu kwa masomo waliyoyashindwa katika mtihani wanyuma ambapo kati yao 319waliweza kufaulu kutokana namitihani walioibakiza ‘’Alisema Pius MANENO . MKURUGENZI Maneno alisema kuwa jumla yawatahiniwa 2999 kati watahiniwa wote 6404 hawakuweza kufaulu mitihani yao iliyoandaliwa na bodi hiyo ya uhasibu.

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni